Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Sep 7, 2022 #1 Mwanafunzi aliyelisti hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo
Achimwene2014 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 119 Reaction score 124 Sep 7, 2022 #2 Namba yoyote ile inafaa ila itapendeza zaidi ukitumia aliyofanya vizuri kwenye mtihani wake.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Sep 7, 2022 Thread starter #3 Achimwene2014 said: Namba yoyote ile inafaa ila itapendeza zaidi ukitumia aliyofanya vizuri kwenye mtihani wake. Click to expand... okay
Achimwene2014 said: Namba yoyote ile inafaa ila itapendeza zaidi ukitumia aliyofanya vizuri kwenye mtihani wake. Click to expand... okay
MropeJP Member Joined Jul 16, 2017 Posts 6 Reaction score 34 Sep 7, 2022 #4 Tumia namba ambayo ni recent, lakini wakati wa kujaza taarifa zako kuna option ya kujaza namba zote kwa wale walio fanya mtihani zaidi ya mara moja. Nadhani ni muhimu zaidi taarifa ie namba zote mbili zikawapo kwenye form yako.
Tumia namba ambayo ni recent, lakini wakati wa kujaza taarifa zako kuna option ya kujaza namba zote kwa wale walio fanya mtihani zaidi ya mara moja. Nadhani ni muhimu zaidi taarifa ie namba zote mbili zikawapo kwenye form yako.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Sep 7, 2022 Thread starter #5 Okay
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 8, 2022 #6 Kwenye issue ya number unabidi kuwa makini namba ya kuombea mkopo inabidi ifananae na ya form four so u have to be Attentive
Kwenye issue ya number unabidi kuwa makini namba ya kuombea mkopo inabidi ifananae na ya form four so u have to be Attentive