commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,624
- 871
Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne (2012), amekutwa akisimamia ujenzi wa zahanati ya wilaya ya Bukombe-Mkoani Geita.
ALipoulizwa kwa nini linta imepinda alijibu ni kwa sababu ya mbao zilizotumika zimepinda,
Mwenyekiti wa sisiemu katika wilaya hiyo, amesema haya ndiyo mambo yanaizamisha sisiemu shimoni...
Hapa ndipo tulipofikia watanzania....
CHANZO: TAARIFA YA HABARI, ITV (SAA 2.USIKU, 20/07/2013)