mtoa mada we ni mshamba sana ulishindwa kushangaa alipopata hyo degree kwa rushwa unakuja kushangaa yeye kupata admision mzumbe sasa kuna ajabu gan mtu aliyepata degree kwa rushwa kupewa adimision? Kumbuka transcript pamoja na chet hakiandikwi kuwa huyu mtu kapata degree kwa rushwa. Kitu kingne watu wangapi wanapata degree kwa rushwa ya ngono?sasa mzumbe wana kosaa gani? Wao wameletewa vyeti harali kutoka tumain university na kujiridhisha kumbuka ktk admision hakuna interview, ni matokeo yako pamoja na pesa basi. Pia wewe ni mnafiki kama unajua kama tumain wametoa degree kwa rushwa na unatambua rushwa ni kosa la jinai kwa nini hujawafikisha tumaini ktk vyombo vya sheria?