Mchukuu wa Mangi
Member
- Sep 21, 2013
- 27
- 23
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi mmoja jina naliifadhi ambaye alifanikiwa kupata degree yake kwa mwaka mmoja Tumaini university kwa njia za rushwa amefanikiwa kupata admission Mzumbe Dar Campus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoa mada we ni mshamba sana ulishindwa kushangaa alipopata hyo degree kwa rushwa unakuja kushangaa yeye kupata admision mzumbe sasa kuna ajabu gan mtu aliyepata degree kwa rushwa kupewa adimision? Kumbuka transcript pamoja na chet hakiandikwi kuwa huyu mtu kapata degree kwa rushwa. Kitu kingne watu wangapi wanapata degree kwa rushwa ya ngono?sasa mzumbe wana kosaa gani? Wao wameletewa vyeti harali kutoka tumain university na kujiridhisha kumbuka ktk admision hakuna interview, ni matokeo yako pamoja na pesa basi. Pia wewe ni mnafiki kama unajua kama tumain wametoa degree kwa rushwa na unatambua rushwa ni kosa la jinai kwa nini hujawafikisha tumaini ktk vyombo vya sheria?