Mwanafunzi anayeanza form one mpaka form four anatakiwa afundishwe sheria za barabarani na udereva wa magari mbalimbali

Mwanafunzi anayeanza form one mpaka form four anatakiwa afundishwe sheria za barabarani na udereva wa magari mbalimbali

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Mwanafunzi anapoanza form one anatakiwa ajifunze udereva na sheria za barabarani ni ajabu udereva haufundishwi mashuleni

Kuanzia form one mpaka four Mwanafunzi anatakiwa asomee udereva wa
  1. Magari madogo
  2. Magari makubwa
  3. Fork-lift
  4. Grader
  5. Telescopic handler
  6. Magari yanatotumika kwenye kilimo
Tumeona juzi juzi madereva wa Tanzania wamefeli mtihani qatar lakin tungekuwa tunawafundisha wanafunzi wetu tokea form one mpaka four wangejua sheria na udereva wa magari ya aina mbalimbali

Na pia ni muhimu afundishwe maintenance ndogo-ndogo ya magari

Akimaliza form four atapewa cheti na leseni

NIKIWA RAIS WANAFUNZI TOKEA FORM ONE MPAKA FORM FOUR WATAKUWA WANAFUNDISHWA SHERIA NA NAMNA YA KUENDESHA MAGARI AINA MBALIMBALI NA ITAKUWEPO KWENYE CURRICULUMS

Lengo ni kurudishia na kukipa heshima cheti cha form four

 
Mwanafunzi akimaliza form four atakuwa anajua kuendesha magari yafuatayo
  1. Magari madogo
  2. Magari makubwa kama scania
  3. Fork-lift
  4. Grader
  5. Telescopic handler
  6. Magari yanatotumika kwenye kilimo
 
Unafikiri walio madarakani, wenye vitambi kama mifuko ya mbolea, wana hiyo akili?
 
Kuna-faida kubwa sana kwa manafunzi kufundishwa udereva wa magari tofauti tofauti kutaongeza wigo mpana wa watu kujua sheria za barabarani
 
1111111111111111111111111111111111111111111111111111..1.jpg
 
Back
Top Bottom