Bakora zingekuwa zinasaidia tusingekua na viongozi wa hovyo wanaofikia hatua ya kutusi wananchi.mlete tumpe bakola anyooke,
unanvyoongea mwanao asipigwe stiki ila wewe ukishikwa na polisi una lambwa makofi na hauna cha kuwafanya.
Watoto wa Kitanzania wamelelewa katika nidhamu ya woga. Mtoto muda wote ana hofu atakosea ataadhabiwa. Hata kujieleza vizuri hawezi sababu ya woga.Wewe unafikiri hiyo ilikusaidia?
Kumpiga sana mtoto kunamfanya awe sugu tu.
Mtoto akifanya kosa sio lazima upige kama nyoka, unaweza kumpa adhabu nyingine yenye faida, na akajifunza akabadilika.
Atasokea BurundiNdio maana elimu inazidi kurudi nyuma. Mwanangu hatosoma hoi nchi I swear.
Sheria ziko waziDaaah huu utandawazi bhn, mbona uvimbe wa kawaida tu huo au labda unataka kusemaje
Vita ya walimu vs wanafunzi&wazaziVita ya walimu na wanafunzi sijui itaisha lini!
Hawa walimu wanakuwaga na hasira gani hivi na watoto wa watu kama yule wa kagera aliuawa mtoto wa watu tena ni yatimaMwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
View attachment 3079840
kumbuka: without fear or pain there is no accountabilityWewe unafikiri hiyo ilikusaidia?
Kumpiga sana mtoto kunamfanya awe sugu tu.
Mtoto akifanya kosa sio lazima upige kama nyoka, unaweza kumpa adhabu nyingine yenye faida, na akajifunza akabadilika.
Kila mwalimu akisema hivi darasa litakalika.Labda ungesema kuwe na adhabu mbadala.Mimi nakubali sana wale walimu wenye msimamo wa 'Sigusi mtoto wa mtu, atajijua na mzazi wake'.
Fear or pain haipatikani kwa njia ya viboko peke yake.kumbuka: without fear or pain there is no accountability
Umeelezea vizuri kabisa mkuu.Watoto wa Kitanzania wamelelewa katika nidhamu ya woga. Mtoto muda wote ana hofu atakosea ataadhabiwa. Hata kujieleza vizuri hawezi sababu ya woga.
Mnasema fimbo ni kwa ajili ya kunyosha maadili lakini ni nani anaangoza kwa kuwa na maadili ya hovyo kati yetu na Wazungu?
Nani anayeua Albino?, nani mla rushwa?, nani fisadi?, nani anaibia majeruhi wa ajali?, nani wanaopitisha miswada ya kukandamiza watu wao?
Hii dhana ya Kitanzania manguvu mengi akili kidogo inaturudisha nyuma sana. Kila sehemu tunaamini nguvu ndio suluhisho. Mtu kamsaidia binadamu mwenzake aliyepatwa na ajali, kamfikisha Polisi apate Pf3 akatibiwe cha ajabu anawekwa ndani yeye ndio kamgonga.
MANGUVU MENGI AKILI KIDOGO, MATOKEO MADOGO.