DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
"Mtuhumiwa hana haki" hii kauli haifai kabisa
Watu wanalindana tuu huko kwenye system hakuna haki hata kidogo
 
...Huna Hata haja ya kumtambulisha aliyeibiwa laptop kama BINAMU wako
BINAMU akufanyie hivyo kweli? Hafai....
 
Hapa Lazima korodani zipasuke.
Note: Picha kwa Idhini ya post za nyuma za JF haihusiani na tukio hili, nimeweka ka mfano wa maelezo ya mhusika.
Wadau tutiii Sheria bila shuruti
Hiyo adhabu police wanaiita mishkaki, ukisikia wanakwambia leo utakula mishkaki, Basi jiandae kwa hayo
 
Wanampigaje hivyo mtu utafikiri gaidi ?bila ushahidi?
Laptop tu inawatoa utu watu jamani
Wafukuzwe kazi hao watu na rudovik ashtakiwe roho mbayaa na uuaji
Police ilitakiwa iwe sehem salama na kusaidia watu
Wawashtaki
 
Ni maelezo mengi mno, nimeishia njiani. Ila pole sana ndugu.
 
Wanampigaje hivyo mtu utafikiri gaidi ?bila ushahidi?
Laptop tu inawatoa utu watu jamani
Wafukuzwe kazi hao watu na rudovik ashtakiwe roho mbayaa na uuaji
Police ilitakiwa iwe sehem salama na kusaidia watu
Wawashtaki
Labda depo wanafanyiwaga ivyo nao
 
Mwenye tatizo ni huyo ndugu yake aliyetoa taarifa
 
Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia
 

Attachments

  • 59388DCD-8237-46DE-8170-651614B800A5.jpeg
    87.7 KB · Views: 6
Inasikitisha, nilisoma kwenye "Raia mwema" . Huyu NDUGU huenda alifanya dili na polisi ili kumtesa Waren Lyimo. Ni pesa tu inaongea na mtu unabandikiwa kesi bila huruma. Waliohusika wapewe adhabu kali ili iwe fundisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…