DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
shida nyingine ya wenye mamlaka kuendelea kukumbatia watu wenye akili finyu kwenye mifumo... Ni hatari sana kuajili watu wenye akili ndogo kuwa ndio askari wanaolinda jamii..
 
Kuna haja ya kuanziasha kikosi maalum cha kutetea wote wanaonewa na kudhulumiwa, kazi ya kikosi husika itakuwa kulipa kisasi bila malipo yeyote.

Wahusika wote wanapaswa kuuwawa kuanzia ndugu wa kijana na mke wake, mkuu wa kituo na hao migambo wote...
 
IGP tunaomba ulifuatilie hili ili HAKI itendeke
 
Asisahau pia kumtafuta mtu anaitwa Malisagj yupo Instagram huwa ana expose sana hizi issue na hatua zinachukuliwa ndani ya masaa 24,fanya jitihada za kumtafuta ndugu na hata issue za matibabu pia anaweza kuangalia namna ya kukisaidia kwa kuchangisha michango,pole sana ndugu.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapa Lazima korodani zipasuke.
Note: Picha kwa Idhini ya post za nyuma za JF haihusiani na tukio hili, nimeweka ka mfano wa maelezo ya mhusika.
Wadau tutiii Sheria bila shuruti
Pumbu zinavyouma halafu ukutane na adhabu kama hii, hayo maumivu yake hayaelezeki
 
Aisee dah kisasi ni haki. Hiyo familia wamshughulikie kikamilifu huyo mshenzi na mkewe. Kwanza udugu unakufa, pili kisasi ni lazima. Kutoa uhai wa mtu aliyekutendea ndivyo sivyo hali ya kuwa wajua hauna hatia, ni haki kumalizana naye hapahapa duniani. Hakuna kusamehe
 
Wanampigaje hivyo mtu utafikiri gaidi ?bila ushahidi?
Laptop tu inawatoa utu watu jamani
Wafukuzwe kazi hao watu na rudovik ashtakiwe roho mbayaa na uuaji
Police ilitakiwa iwe sehem salama na kusaidia watu
Wawashtaki
Ni kisasi tu. Kisasi ni haki. Hakuna kusamehe
 

Kuna watu wanaroho ngumu
 
Sio kama kapigwa Kwa sababu kaiba nooooo........sababu kilichoibwa kimetoka Kwa mpenzi ..............
 
Mambo ya namna hii ulitia doa jeshi la polisi
Kinachozidi kutokea sasa ni kuzidi kwa chuki baina ya raia kwa jeshi la polisi


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hapa Lazima korodani zipasuke.
Note: Picha kwa Idhini ya post za nyuma za JF haihusiani na tukio hili, nimeweka ka mfano wa maelezo ya mhusika.
Wadau tutiii Sheria bila shuruti
Tutii sheria bila shufuti unamainisha nini tukubari kosa nawakati atujatenda kisa kipigo?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Inaogopesha sana. Kuna binadamu wana roho mbaya sana hata shetani akasome.
 
A
Akina Masanja hawa akili hamnaga komputer yenyewe ya kupewa na mke🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…