Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Huyo mtoto hakuogopa zile ngozi zilivyokunjamana aiseee!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukame ukizidi inabidi upate mapozeo tu kuliko kupiga punyeoDuh, sidhan kama wanaume tena vijana watapenda kudate na vibibi.
We are different
kinachoangaliwa ni hela, kukunjamana kwa ngozi hata kiboko na tembo wanaoHuyo mtoto hakuogopa zile ngozi zilivyokunjamana aiseee!!!!
Taswira halisi ya umasikini na ujinga wa jamii.Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000.
Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto Manispaa ya Shinyanga alikubali kujihisisha kimapenzi na mzee huyo baada ya ushawishi wa awali wa Sh2, 000 kabla ya baadaye kuongezewa Sh5, 000.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi ameiambia Mwananchi kuwa suala hilo tayari limeripotiwa na kwamba Jeshi la Polisi linamsaka mtuhumiwa aliyefanikiwa kutoroka baada ya taarifa hizo kufichuka.
Kwa mujibu wa Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dk Luzila John, vipimo vya kitabibu vimebainisha kuwa mwanafunzi huyo ana ujauzito wa miezi mitano.
Alivyorubuniwa
Akizungumza na Mwananchi mwanafunzi huyo amesema katika tukio la kwanza, mtuhumiwa alimshawishi kwa kumpatia Sh2, 000 ndipo akakubali kukutana naye kimwili.
Anasema katika tukio la pili, mtuhumiwa mara ya kwanza mzee alimwita nyumbani kwake na baada ya kumwingilia kimwili alimpatia Sh5, 000.
Amesema taarifa za uhusiano wao wa kimapenzi uliodumu tangu Desemba, 2022 zilibainika baada ya mzee huyo kumtaka kimapenzi ndugu yake mwingine wa kike ambaye aliamua kufichua jambo hilo kutokana na kuchukizwa na tabia ya mtuhumiwa ya kutaka kuwa na uhusiano nao wote wawili.
Baada ya taarifa hizo kufikia familia, juhudi za kijamii za kulimaliza suala hilo kwa mtuhumiwa kupigwa faini ya gunia mbili za mpunga na baiskeli zilifanyika.
Katika jitihada hizo, mtuhumiwa aliyekuwa miongoni mwa viongozi kijijini hapo aliondolewa kwenye nafasi ya uongozi, hali iliyoibua udadisi kutoka kwa wananchi, ndipo ikabainika kuwa anatuhumiwa kwa ukosefu wa maadili kutokana na kudaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi.
"Ufuatiliaji wa wananchi ndio uliowezesha tabia chafu ya mtuhumiwa ya kuwaribuni watoto kimapenzi ikiwemo kumpa ujauzito mwanafunzi kujulikana," amesema mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Mwamala kwa sharti la kuhifadhiwa jina
Katibu wa kampeni ya kupinga ukatili (SMAUJATA) Mkoa wa Shinyanga, Daniel Kapaya, ameviomba vyombo vya dola na mamlaka nyingine husika kuhakikisha mtuhumiwa anapatikana na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
"Hatua za kisheria lazima zichukuliwe dhidi ya wote wanaofanya vitendo vya aina hii ili kuwa fundisho kwa wengine," ameshauri Kapaya
MWANANCHI
Kiboko na binadamu vitu viwili tofauti.kinachoangaliwa ni hela, kukunjamana kwa ngozi hata kiboko na tembo wanao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wengi siku hizi hamna kitu ndiyo maana vibinti vinaenda kwa vibabu ha ha ha [emoji3][emoji3] halafu unaona kabisa Bodaboda anampeleka binti kwa babu yeye hata neno lakumshawishi bint aachane na kibabu hana[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi kutapikaaaUkisikia wanaume walikua wanadumu kwa masaa 6 bila kuchoka kwenye tendo enzi za ujana wao ndio hawa sasa hadi leo bado wanadate na vibinti vya 16 years.
Ndio maana ukifuatili record ya mabibi ambao ni wake zao walikojoa kojo zao zinachimba shimo chimo tofauti na vijimwanamke vya siku hizi ambavyo vinakojoa mikojo imasambaa utafikiri anamwaga zege! [emoji23] vinaharibiwa kwa kudate na vizee hivi! Vingali bado vidogo havijakizi umri rasimi wa kuanza mapenzi.
Kabinti kadogo ila chini kana balaa kama miujiza ya Gwajima[emoji22]
Ee Mungu nirehemu mimi mja wako kwa kuendelea kumpiga bakari nondo mwamnyeto! [emoji55]
Maana hawa woman bado hawaeleweki kama mvua za yuko! [emoji5]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii nyie mie sitakii, nakufaa kwa kuchekaaaWa babu wa bush wako vizuri.mjini hapa wanatafuta kupandikiza uume maana wamebaki kuninginiza mapumbu tu
😆😆😆Ukisikia wanaume walikua wanadumu kwa masaa 6 bila kuchoka kwenye tendo enzi za ujana wao ndio hawa sasa hadi leo bado wanadate na vibinti vya 16 years.
Ndio maana ukifuatili record ya mabibi ambao ni wake zao walikojoa kojo zao zinachimba shimo chimo tofauti na vijimwanamke vya siku hizi ambavyo vinakojoa mikojo imasambaa utafikiri anamwaga zege! [emoji23] vinaharibiwa kwa kudate na vizee hivi! Vingali bado vidogo havijakizi umri rasimi wa kuanza mapenzi.
Kabinti kadogo ila chini kana balaa kama miujiza ya Gwajima[emoji22]
Ee Mungu nirehemu mimi mja wako kwa kuendelea kumpiga bakari nondo mwamnyeto! [emoji55]
Maana hawa woman bado hawaeleweki kama mvua za yuko! [emoji5]
Wewe mtu bado upo tu? Sijakusikia siku nyingi, nikajua ULIKWENDA NA UVIKO 19.Wa babu wa bush wako vizuri.mjini hapa wanatafuta kupandikiza uume maana wamebaki kuninginiza mapumbu tu