Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nyerere siyo rais, hayupo Duniani ila yote kwa yote, Sheria za marekani siyo sawa na sheria za Tanzania.Hivi kuna raisi dunia hii anatukanwa kama D.Trump wa Marekani?
Akiwa anahutubiwa kupewa ishara ya dole la kati na katoto ka 2000 tena sawa na kajukuu kake ni simple tu husikii huko ameshtakiwa mtu njoo bongo sasa.
Niliwah kuona hyo video ya noti ya elfu moja nyerere anatabasamu nazan mwaka jana au juzi,nyingine nikaona kavaa kaushi kwenye noti hyoVideo za hivyo ziko nyingi tu tena za Zaidi ya hiyo dogo wamemuonea tu, wamuache asome
Kuna nyingine Nyerere ana vua Kaushik na kuamua jasho๐Niliwah kuona hyo video ya noti ya elfu moja nyerere anatabasamu nazan mwaka jana au juzi,nyingine nikaona kavaa kaushi kwenye noti hyo