Mambo ya kijinga sana ndio wako nayo hapo TCRA, kuna vizee vimelong stay miaka na miaka hata ukimuuliza huo utundu wa kijana aliofanya kutumia AI havijui vinajua tu mambo ya cold war na upuuzi wa ujamaa.
Wameuza twiga na tembo mpaka leo hawajaonyesha receipt lakini kwa mambo ya kijinga ndio wanajifanya wanampenda Nyerere. Waache unaafiki, tunajua wameshindwa kuienzi falsafa ya Mwalimu.
Ila nyerere siyo rais, hayupo Duniani ila yote kwa yote, Sheria za marekani siyo sawa na sheria za Tanzania.
Huyo jamaa hashitakiwi lwa sheria za marekani bali za Tanzsnia.