DOKEZO Mwanafunzi asimamishwa masomo baada ya kukutwa nyumbani kwa Mwalimu Saa 6 Usiku wakidaiwa kufanya mapenzi, Mwalimu analindwa na mamlaka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Alafu watoto wa 5 na Six wanakuwa wamenona. Waliim jizuieni tafadhali
 
Yaani hii nchi unaweza kusema tuko Sayari nyingine, sio duniani..
 
we jamaa unaongea pumba sana.alafu usikute hata familia ujawai kuwa nayo
Kwani wanaolalwa ni hao Wanafunzi wa Kike au Wewe? Kinachokuuma ni nini wakati Mbunye zote wanazimiliki Wao? Acheni Wabanduliwe na tena Nawapongeza mno hawa Walimu na nitapenda pia na Walimu wengine Waige mfano wao kokote pale Tanzania na mwendo uwe ni huu huu wa Kuwabandua tu hakuna Huruma wala Kuogopa lolote Kudadadeki.
 
Ajabu sana, mwanafunzi ndie ameendelea kushikiliwa kituo cha polisi, huku mwalimu akiachiwa huru, polisi sijui huwa wanatumia akili gani kwenye mambo yao.
Unaweza ukajiona upo sahihi, lakini kila kitu kina taaluma yake. Tusijidai wajuaji, huyo mwanafunzi anahitaji apewe kwanza ushauri nasaha, akiachiwa huru anaweza akajidhuru kwa hofu ya aibu au kufukuzwa shule (halafu utarudi tena humu kulaumu). Tuviachie vyombo na mamlaka husika, huo ndio weledi
 
Hao watoto wa form 5 na 6 wana libido Iko active sana.

Wanatega sana waalimu.
Sema ndiyo hivyo tena walimu wanapaswa kujitahidi kubakia professional.
 
Ushahidi gani hao polisi wanautaka au walitaka kumuona Mwl juu ya kifua cha mwanafunzi
 
Hao wanafunzi wenyewe Malaya mbwa usikute alienda kujibebisha mwenyewe. Yani huku mtaani mtoto wa kidato cha pili atanatembembea na umli wa baba yake tena anawabadilisha kila siku yani huwa nawashangaa. Sana mnao watetea hao vichwa maji kichefu chetu.
 
Ila sidhani kama mtoto mwenye maadili na adabu anaweza kukubali kwenda kubabuliwa usiku kwa mwalimu...
Kuna sura tuu ziko serious hata mwalimu anamugopa..hasa wale bright students...
Japo sihalalishi hiyo tabia mbaya ya walimu...but kuna wtt wengine wanawatongoza kabisa walimu..wanawandikia na vi ujumbe kabisa..
 
Watoto hao hao mnaopigia kelele mnawaona mtaani na boda boda wala hamsemi kitu,lakini waalimu kwasababu wana damu ya kunguni mnataka wasulubishwe.
 
KizaZ cha sahv kishakata kamba

Ova
 
Unategemea nini shule ni ya girls , nyege ziko juu sana hata hao ni binadamu wanaitaj kuridhishwa kimapenzi
 
Serikali ijitahidi kujenga miundombinu yote muhimu kwenye shule zake. Mfano ujenzi wa mabweni ya kisasa na uzio ili kupunguza changamoto kama hizo kwa watoto wa kike.

Ifahamike tu hapo waharibifu wa watoto wetu siyo walimu pekee! Kuna kundi kubwa tu haliongelewi. Ni vile tu walimu wanachukuliwa kama ni kioo cha jamii/walezi!

Kwa hiyo ikionekana amefanya kosa la aina hiyo, kesi yake inakuwa ni kubwa sana kuliko uharibifu unaofanywa na bodaboda, vijana wenzao, nk.
 
Ajabu sana, mwanafunzi ndie ameendelea kushikiliwa kituo cha polisi, huku mwalimu akiachiwa huru, polisi sijui huwa wanatumia akili gani kwenye mambo yao.
Usihukumu kabla Dogo. Inawezekana wanamshikilia ili ushahidi usichezewe. Yaani Mwalimu anatuhumiwa halafu mwanafunzi arudi kwenye shule hiyo hiyo kabla uchunguzi haujakamilika si utapotea kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…