Ahaaa haaa haaaLinakwenda km 50 kwa siku
Ungeweza kumpa credit zake jamaa bila kulazimika kuwaponda wengine bado ukaeleweka.. Unawaponda hao wengine kwani huyu hiyo solar panel kaiunda mwenyewe au nae kachukua ya wenzake?Huu ndio ubunifu mtu anakuja na kitu ambacho hakipo kabisa sio wale wabongo wenzangu wanachukua engine ya bajaji au diesel engine na kuzitengenezea bodi na kusema wametengeneza helcopta au gari, au wale wanachukua sumaku na ma diode ya redio na kusema wametengeneza kituo cha kurussha mawasiliano ya redio
hypocriteSAFI SANA.
Huyu ni zaidi ya zile assembly plants za kina Volvo Nissan etc
mtanzania labda aweze kurogana tuIle helikopta iliyotengenezwa na Mtanzania ilikosa Kiki?
hypocrite
SAFI SANA.
Huyu ni zaidi ya zile assembly plants za kina Volvo Nissan etc
Ni kweli mkuu,big up!Ungeweza kumpa credit zake jamaa bila kulazimika kuwaponda wengine bado ukaeleweka.. Unawaponda hao wengine kwani huyu hiyo solar panel kaiunda mwenyewe au nae kachukua ya wenzake?
We unahisi anaechukua engine ya bajaj akaunda helcopta ikipaa anakua hajatumia akili au hizo diode za redio akatengeneza kituo cha redio anakua hajatumia akili?
Jifunze kuthamini ubunifu wa mwenzako as long as haauna athari hasi kwa jamii ndo tabia ya kiume
Haha wao walinitoa kwa battle ..ichoboy na kadoda nliwalambisha lolo...giza ulale akanitoa kwa battleHahahaha kimbia Ichoboy asije hapa akukute hahahaha. Anaita Mwanaume anajiamini.
Haha wao walinitoa kwa battle ..ichoboy na kadoda nliwalambisha lolo...giza ulale akanitoa kwa battle
Yaaa bora umemwambia yy anafikir uyo jamaa vyote kaviunda yy?Ungeweza kumpa credit zake jamaa bila kulazimika kuwaponda wengine bado ukaeleweka.. Unawaponda hao wengine kwani huyu hiyo solar panel kaiunda mwenyewe au nae kachukua ya wenzake?