Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Mwanafunzi mmoja huko Eldoret, Kenya anayefahamika kama Samuel Karumbo ametengeneza gari inayotumia umeme wa jua.
Samuel anasema tangu utotoni amekuwa akitamani kuendesha gari ya bei nafuu.
Gari hio inatembea kilomita 50 kwa siku na ameiomba Serikali iwekeze zaidi kwenye ubunifu.