.... sijui wangemfunga gereza gani kwa umri na tabia yake; kwa wakubwa umri wake unakataa; kwa watoto kwa tabia yake angewaharibu sana. Huko alikopelekwa ndipo pahala sahihi kwake. Tanzania haijaishiwa na watu hadi mijitu kama hiyo iwepo kwenye jamii.Wangemfunga hata miaka 10 tu yasingemkuta haya. Wakamuachia uraiani, raia wamemuondosha.
Ndio watoto wetu hao.duh aiseee
Afande unachekesha.Angesoma boarding asingekuwa na tabia hii
Tamaa ya maisha wapi, usikute hako kahela kenyewe buku jeroo ya mandazi mawiliii njaa inamuuma tu!RIP kijana mdogo..ndoto zako zimezimwa kwa tamaa ya maisha
alikopelekwa ndipo pahala sahihi kwake. Tanzania haijaishiwa na watu hadi mijitu kama hiyo iwepo kwenye jamii.
Ni vizuri wamemuua
🤣🤣🤣🙌Dah, alishanogewa.
Sio jamii...maofisa elimu na viongozi wengine wanataka div I kwa watoto wenye maadili mabovu, watoto waliodumaa akili, watoto watukutu na wakiadabishwa jamii yote inakuja juu sasa ngoja walimwengu wafundishaneNdiyo muone sasa aina ya wanafunzi ambao wanapatikana kwa wingi katika shule zetu za kata.
Na utakuta jamii inataka mtoto mwenye tabia za aina hii, apate daraja la kwanza kwenye Mtihani wake wa Taifa!!
Angeponea chupuchupu halafu akafia hospitali madaktari wangepewa pongezi kwa jitihada zao za kunusuru maisha yake...Huyo akimaliza four four akifeli walimu wanatukanwa
Ndiyo muone sasa aina ya wanafunzi ambao wanapatikana kwa wingi katika shule zetu za kata.
Na utakuta jamii inataka mtoto mwenye tabia za aina hii, apate daraja la kwanza kwenye Mtihani wake wa Taifa!!
Nusu ya wasichana wanajiuza, tena kwa bei elekez ya buku 5 kwa kumi unamfokoa.
Mabinti wa shule wamepga njiti, sindano nk kuzuia mimba.
Walimu wana hali ngumu.