dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
.... sijui wangemfunga gereza gani kwa umri na tabia yake; kwa wakubwa umri wake unakataa; kwa watoto kwa tabia yake angewaharibu sana. Huko alikopelekwa ndipo pahala sahihi kwake. Tanzania haijaishiwa na watu hadi mijitu kama hiyo iwepo kwenye jamii.Wangemfunga hata miaka 10 tu yasingemkuta haya. Wakamuachia uraiani, raia wamemuondosha.