Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Mtoto wa darasa la pili anaweza kupigana na mwalimu?Hayo huwa ni mapigano kati ya Mwalimu na Mwanafunzi ambayo hupelekea kuguswa sehemu mbaya, Kiuhalisia fimbo kama fimbo wacha magongo haiuwi labda upigwe za kichwa
Sheria ya shule inasemaje endapo mtoto akikamatwa na simu?Mwanafunzi kuwa na Simu shuleni ni sehemu ya taratibu za shule???
Kama ni kinyume na taratibu zilizopo, nikuulize wewe sasa ulitaka walimu wamuacha aendelee kutumia Simu ili badae wafukuzwe kazi kwa uangalizi mbovu?
Kumbe kufanyiwa ukatili ni sifa?
Ulivuliwa mpaka chupi?
Hawakukusokomeza madole mkunduni?
Simu ina shida gani endapo pakiwa na utaratibu mzuri wa matumizi yake?Wewe mtoto wako analeta upumbavu shuleni wa kuja na SIMU.
Sasa wewe ndio unabisha ama?Hakuna adhabu Kama hiyo, huyo mtoto aseme vizuri hakuna Mwalimu wakumpiga mtoto akiwa uchi.
Hata Kama mnawaona walimu hawana akili Ila kweny walimu6 lazima angekuepo walau mmoja anayeona kuwa hakun kosa.Huyo mwanafunzi anashidaWalimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.
Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.
Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.
Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.
Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.
Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.
Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.
Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.
Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.
Tupaze sauti.
Ah thubutu yako!unajua mziki wa kuwalea watoto wa kike?
Piga fimbo hata mia
Ubish tu na harakat nyingi, Juz kat nmetoka shule kwa case dogo wa miaka 10 std 5 kamkata mwenzie panga kimasihara na akagoma kupgwa na mwalim, tena mwalim analalamika amejibiwa ovyo kabisa.Mtoto wa darasa la pili anaweza kupigana na mwalimu?
Fuata SHERIA ZA SHULE, NA SHERIA ZA NCHI.Ubish tu na harakat nyingi, Juz kat nmetoka shule kwa case dogo wa miaka 10 std 5 kamkata mwenzie panga kimasihara na akagoma kupgwa na mwalim, tena mwalim analalamika amejibiwa ovyo kabisa.
Sheria za shule zinasemaje kuhusu mwanafunzi kukamatwa na simu?Mwanafunzi ilibidi afukuzwe shule ndipo upaze sauti ? Kutumia simu ni kinyume na taratibu sauti ipi sasa tupaze apo kwamba viboko ishirini ni vichache au afukuzwe shule ingekua uonevu kama wangempga pasipo kosa
Akikujibu usisahau kuni taG mkuu....Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?
Ungembembeleza akwambie
Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.
Ungefanya nn?
Mwanafunzi haruhusiwi kuwa na simuSheria za shule zinasemaje kuhusu mwanafunzi kukamatwa na simu?
AliChaniwa na walimu wa kike wakati wa ukaguzi lakini ukiniambia alipelekwa staff akiwa na uchi hiyo haiingii akilini na ukizingatia mleta mada anabifu na walimu.Sasa wewe ndio unabisha ama?
Mhusika katoa ushuhuda hapa kwamba alichaniwa chupi na walimu, tena anafurahia anasema ni jambo jema.
Kuchaniwa chupi ni kuchaniwa chupi tu.AliChaniwa na walimu wa kike wakati wa ukaguzi lakini ukiniambia alipelekwa staff akiwa na uchi hiyo haiingii akilini na ukizingatia mleta mada anabifu na walimu.
Akikutwa na simu, sheria zinasemaje?Mwanafunzi haruhusiwi kuwa na simu
Ni Kweli, wewe uliyekaa kufunzwa nao tukuiteje?Fuatilia waalimu akili zao. Zinafananafanana. Halafu huwa wapumbavupumbavu sana.