Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Hayo huwa ni mapigano kati ya Mwalimu na Mwanafunzi ambayo hupelekea kuguswa sehemu mbaya, Kiuhalisia fimbo kama fimbo wacha magongo haiuwi labda upigwe za kichwa
Mtoto wa darasa la pili anaweza kupigana na mwalimu?
 
ILA WATOTO WA SIKU HIZI WALAINI SANA SIJUI TATIZO NI NINI?
YANI FIMBO 20 TU NDIO INAKUA STORY MPAKA INAFIKA JAMII FORUM?
ENZI ZETU MTU UNATANDIKWA FIMBO ZA MJOHORO ZA KUTOSHA WALA HATA HAUHESABU NA KINACHOKUFANYA UJUE UMECHAPWA NYINGI NI PALE UNAPOONA HAPO CHINI KUNA VIPISI VITATU VYA FIMBO VILIVYOBAKI.
 
Mwanafunzi kuwa na Simu shuleni ni sehemu ya taratibu za shule???

Kama ni kinyume na taratibu zilizopo, nikuulize wewe sasa ulitaka walimu wamuacha aendelee kutumia Simu ili badae wafukuzwe kazi kwa uangalizi mbovu?
Sheria ya shule inasemaje endapo mtoto akikamatwa na simu?
 
Mmm wazaz sasa unaongea kama ulkuepo au kisa mwanao kakwambiaaa
 
Wewe mtoto wako analeta upumbavu shuleni wa kuja na SIMU.
Simu ina shida gani endapo pakiwa na utaratibu mzuri wa matumizi yake?

Lazima sasa waalimu muanze kuwa rational, sio kupiga piga tu watoto marungu hovyo.

Siku ukimuua mtoto wa mtu, hata hizo sheria zako za shule hazitakusaidia.

Utakuwa mwenyewe ukiwa unalawitiwa na nyampara huku unajinyea hovyo.

Majuto ni mjukuu. Usije ukasema ulipitiwa na shetani, maana hata shetani atakukimbia.
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Hata Kama mnawaona walimu hawana akili Ila kweny walimu6 lazima angekuepo walau mmoja anayeona kuwa hakun kosa.Huyo mwanafunzi anashida
 
unajua mziki wa kuwalea watoto wa kike?
Piga fimbo hata mia
Ah thubutu yako!

Hebu ukuje hapa tukujaribu wewe bakora hamsini za makalio kama haujamwaga mavi hovyo hovyo.

Usiwaponze walimu waende wakaue wanafunzi halafu Jamuhuri iwashukie jumla jumla.

Wakati huo wewe unakula chips na mmeo, mwenzako anasulubishwa na serikali.
 
Mtoto wa darasa la pili anaweza kupigana na mwalimu?
Ubish tu na harakat nyingi, Juz kat nmetoka shule kwa case dogo wa miaka 10 std 5 kamkata mwenzie panga kimasihara na akagoma kupgwa na mwalim, tena mwalim analalamika amejibiwa ovyo kabisa.
 
Ubish tu na harakat nyingi, Juz kat nmetoka shule kwa case dogo wa miaka 10 std 5 kamkata mwenzie panga kimasihara na akagoma kupgwa na mwalim, tena mwalim analalamika amejibiwa ovyo kabisa.
Fuata SHERIA ZA SHULE, NA SHERIA ZA NCHI.

FULL STOP.
 
Mwanafunzi ilibidi afukuzwe shule ndipo upaze sauti ? Kutumia simu ni kinyume na taratibu sauti ipi sasa tupaze apo kwamba viboko ishirini ni vichache au afukuzwe shule ingekua uonevu kama wangempga pasipo kosa
 
Mwanafunzi ilibidi afukuzwe shule ndipo upaze sauti ? Kutumia simu ni kinyume na taratibu sauti ipi sasa tupaze apo kwamba viboko ishirini ni vichache au afukuzwe shule ingekua uonevu kama wangempga pasipo kosa
Sheria za shule zinasemaje kuhusu mwanafunzi kukamatwa na simu?
 
Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?

Ungembembeleza akwambie

Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.

Ungefanya nn?
Akikujibu usisahau kuni taG mkuu....
 
Sasa wewe ndio unabisha ama?

Mhusika katoa ushuhuda hapa kwamba alichaniwa chupi na walimu, tena anafurahia anasema ni jambo jema.
AliChaniwa na walimu wa kike wakati wa ukaguzi lakini ukiniambia alipelekwa staff akiwa na uchi hiyo haiingii akilini na ukizingatia mleta mada anabifu na walimu.
 
AliChaniwa na walimu wa kike wakati wa ukaguzi lakini ukiniambia alipelekwa staff akiwa na uchi hiyo haiingii akilini na ukizingatia mleta mada anabifu na walimu.
Kuchaniwa chupi ni kuchaniwa chupi tu.

Siku nikute mtoto wangu anachaniwa chupi na walimu nitawanyoosha.
 
Back
Top Bottom