Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Hata uzi wa tuhuma za mwalimu kulawiti bado kuna mijinga michache ilitetea ilivyo minafiki ndio hii inajifanya iko mstari wa mbele saizi kumlaani.

Hapa pia kuna mitahira inatetea inasubiri mitoto yao ife ndio ipaze sauti.

Uchunguzi ufanyike kama tukio ni la kweli basi hao walimu wachukuliwe hatua.
 
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Sasa hivi una muona hana akili, ila subiri mamlaka zichukue hatua ndiyo utajua kuwa jamaa ana akili au hana akili. Au subiri huyo mwanafunzi apatwe na madhila mabaya zaidi ndiyo utajua reaction ya watu. Atakaye teseka ni mwalimu/walimu waliohusika na hilo tukio. Walimu sijui hawajifunzi kutokana na matukio ya siku za nyuma. Pia nyakati zimebadilika sana. Kila kimebadilika sana, na mabadiliko huwezi kuyazuia wewe. Suala la fimbo sikatai ila fimbo 20 hapo Hapana. Times have changed. Hatuwezi kuendelea kuishi kwa kutumia akili na nadharia za karne ya 20. Sasa hivi ni karne ya 21 kaka. Dunia imebadilika kwenye kila eneo pamoja na kwenye namna ya kutoa adhabu. Sasa wamemchapa huyo mwanafunzi, nini wamenufaika? Na hii habari aliyoanzisha huyo jamaa itaelea kama upepo. Huna uwezo wa kuzuia siku hizi kutoa habari kwa sababu kila mmoja amepewa platform ya kutoa habari. Wasalam
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.

Habari hii uliyethibisha hadi ukaileta hapa ni mwalimu, mpishi, mlinzi au nani? Ina ukakasi katika ukweli wake!
 
Siku hizi dunia jmebadilika kaka. Huhitaji kuwa mpishi, mwalimu au mlinzi kuthibitisha. Technology imempa platform ya bure kila mtu kuandika habari hata kama hazijathibitishwa ila zina ukweli. Wewe hujui kuwa mambo makubwa mengi yalianzishwa yakiwa madogo kabisa na baadae yakakua?
 
Kuna adhabu za kuwapa watoto na sio mabakora. Ndio maana tunaonekana manyani meusi yasiyo na akili.
Mpe jembe akalime/afyeke/asafishe vyoo vya shule/apige magoti aite mvua mpaka wenzake wakitoka darasani/apewe suspension/alazimishwe asome vitabu kadhaa na aviandikie muhtasar la sivyo anafukuzwa shule n.k nk. mpe adhabu za kumjenga na sio kudhalilisha utu wake.
Ni kweli mkuu. Nyakati zimebadilika sana, hatuwezi kuendelea kuishi kama zamani hata kama hatupendi kuyaacha ya zamani
Mabadiliko lazima yatakuja na hakuna wa kuyazuia.
 
Mbona uko upande wa mwanafunzi zaidi?
Kila kinachosemwa na walimu wake wewe unasema ni uongo kwani wewe ni nani yake??
Hadi wanafunzi waliotoa ushahidi unasema wamelazimishwa na walimu, we umejuaje? hao wanafunzi si ndio wanakaa muda mrefu na huyo mwanafunzi!?

Mboko 20 chache sana, hizo simu zinaharibu sana mabinti, tena zinawapa viburi zaidi. Huko kwenye simu wanavimbishwa mabichwa na viboyfriend uchwara wamlambe bakora zaidi mpaka aseme ni nani huwa anawasiliana nae humo simuni.
Kaka dunia umebadilika sana. Mwanafunzi wa sasa hawezi kuishi kama ulivyoishi wewe. Pia subiri huyo mwanafunzi hali yake iwe tete zaidi ndiyo utajua kama fimbo 20 ni chache au nyingi. Sijui kwanini nyie walimu hamjifunzi kitu kutoka kwa walimu wenzenu walio wahi kuchapa wanafunzi na mwishowe wakaishia kuchapwa wao na mamlaka.
 
Huyu mtoa mada nadhani atakuwa bwana wa huyo mwanafunzi na ndiye anaye mharibu mtoto wa watu maana amepata wapi taarifa zote mpaka afya yake?
Mwalimu unawatetea walimu wenzako
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Idadi kubwa sasa ya wanafunzi ni shida tupu kuanzia sekondari mpaka chuo nidhamu ni sifuri na wamejaa uvivu.Hizo bakora aongezwe tena nyingine 20.Anawasiliana na nani shule tena kwa Siri, ili hali utaratibu wa kuongea na wazazi au walezi upo wazi? Kama hutaki mwanao asipigwe, basi baki nae nyumbani kwako.
 
Times have changed brother. It's 7:00am.
 
Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu.

Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi ofisi ya walimu na kumlazimisha akiri lakini alikataa ndipo walimu 6 wakamshushia kipigo cha fimbo 20.

Mmoja alimchapa 5 wawili 4 kila mmoja, mmoja 3 na wawili 2 kila mmoja. Wapo walimu wa kiume na wa kike waliofanya kipigo hiki. Alipoona kipigo kina zidi aliropoka kuwa yeye hana simu bali aliye na simu ni mwenzake.

Huyo aliyetajwa kachukuliwa hatua japo mzazi alikuja kukiri binti yake kuwahi kuwa na simu.

Huyu binti aliyechapwa alihamishiwa shuleni hapo na kuishi bweni akitokea mkoani kutokana na tatizo la kiafya. Hali hiyo bado ilikuwa inamsumbua na zipo kumbukumbu katika hospitali za Dar na huko alikotoka lakini baadhi ya walimu wanasema anajifanyisha hivyo kushindikiza atolewe bweni azma ambayo wameipitisha pamoja na hicho kipigo.

Tatizo jingine ni imani kwa kuwa jitihadi za kumbadili kupitia ugonjwa zilipo shindikana wanasema haumwi.

Wapo wanafunzi walibadilishwa na kwenda upande wa hao walimu.

Tunaomba TAMISEMI, Polisi na Wizara ya Wanawake, Jinsia na Watoto wafuatilie suala hili. Huyu binti ni mgonjwa sasa akiwa mwanafunzi wa kutwa akipata tatizo njiani nani wa kuwajibika.

Mtoto wa kike anadhalilishwa fimbo 20 shule tena kwenye makalio.

Tupaze sauti.
Wewe bint pia una simu ili uwe unadanga badala ya kusoma. Ukikamatwa uchapwe fimbo 100 kabisa. Wenzio wanasema una tabia ya kutafutia mabwana mabinti wenzio hizo tabia za umalaya kafanyie kwenu.
 
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Umesoma vizuri ukaelea kweli,au wewe umeona anatetea ujinga?
 
Kuna adhabu za kuwapa watoto na sio mabakora. Ndio maana tunaonekana manyani meusi yasiyo na akili.
Mpe jembe akalime/afyeke/asafishe vyoo vya shule/apige magoti aite mvua mpaka wenzake wakitoka darasani/apewe suspension/alazimishwe asome vitabu kadhaa na aviandikie muhtasar la sivyo anafukuzwa shule n.k nk. mpe adhabu za kumjenga na sio kudhalilisha utu wake.
Wakati huohuo mtoto akikosa kipindi nongwa!

Acheni kukariri
 
Wanafunzi na wazazi sikilizeni Kuna walimu Wana msongo wa mawazo kutokana na changamoto zao za kimaisha binafsi na kwa Sasa kasi inazidi kutokana na utofauti wa maisha baina yao kwani zamani wale walimu wazembe wasiojua maisha yanataka nini ambao pesa zao zilishia kuhonga na starehe na kusahau maendeleo walijificha kwenye kivuli cha kazi ya uwalimu ya kimaskini ukifanya basi maendeleo kwako ni ndoto

Sasa hili kundi hili la ukiwa mwalimu maendeleo ni ndoto hawana plan B wao pesa zao ilikuwa anasa na ujinga ujinga hili kundi ndio linaongoza kupiga watoto fimbo shuleni hili kundi Lina stress za maisha stress zinatoka wapi

Amekaa miaka kumi au nane kazini hakuna kitu cha maana alichofanya wanakuja madogo Wana kasi ya ajabu ndani ya miaka mitatu minne madogo Wana nyumba nzuri usafiri mzuri na wamejimarisha kiuchumi wapo kwenye ajira kama dhamana ya mambo yao ya kimaisha nje ya utumishi wa umma

Kwaiyo huwezi kukuta mwalimu mwenye mambo yake vizuri anakomaa eti mtoto ana sm apige fimbo huo mda atautoa wapi aache kuwaza issue za msingi akomae na sm ya mtoto so tambueni Hilo wazazi na wanafunzi walimu wenu wengine Wana stress za madeni, familia nk

MY TAKE
Mkiona mwalimu habari zake kuchapana chapana tu bila mpango si kusimamia taluuma yeye issue kidogo fimbo jambo kidogo fimbo huo ni ushamba na hayo maisha yashapitwa na wakati kupigana pigana tu wakati sheria za shule zipo kazi yake nini sikieni wanafunzi na wazazi mkiona mwalimu wa hivyo unganeni kama wanafunzi sita hivi mvizieni uko mtaani mkamateni mpigeni usiku chapeni fimbo za kutosha, mkishindwa nyie jichangeni changeni hata elfu ishirini tafuteni wahuni wamtafute uyo mwalimu yani chapwe fimbo uku akiambiwa kwanini anachapwa achapwe vya kutosha na kesho nendeni shule akiwazingua tu nendeni mkamshitaki polisi maana hana ushahidi hiyo ndio dawa ya walimu vihele hele
 
Kuna adhabu za kuwapa watoto na sio mabakora. Ndio maana tunaonekana manyani meusi yasiyo na akili.
Mpe jembe akalime/afyeke/asafishe vyoo vya shule/apige magoti aite mvua mpaka wenzake wakitoka darasani/apewe suspension/alazimishwe asome vitabu kadhaa na aviandikie muhtasar la sivyo anafukuzwa shule n.k nk. mpe adhabu za kumjenga na sio kudhalilisha utu wake.

Hizo adhabu hazisaidii wachapwe tu , kuna umri mtoto akilekewa kama yai utavuna mateja na changuwadoa
 
Back
Top Bottom