Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Watoto siku hizi wamekuwa sio waoga na viburi sababu ya wanaharakati uchwara kama wewe......Mimi nilikuwa situmii fimbo ikafikia kipindi watoto wakanizomea nilipowapa amri wakae kwa foleni wasiumizane....Siku zilizofuata nikaona ni ujinga niliwatandika kisawasawa baada ya hapo wakaacha Tabia hizo na heshima ikarudi
 
Mkuu ni labda umeamua kukaza tu fuvu. Ni wazi umeshindwa kuamua kinachopigiwa kelele hapa. Hakuna anayetetea kosa la m/funzi. Kinachopigiwa kelele ni adhabu ya bakora, tena viboko 20. Adhabu ya viboko ni ya kipumbavu. Si bure utakua mmoja wapo katika hilo kundi.
 
We
Huna akili wewe.
Nyie ndio mnalea ujinga kwa watoto
Tupoteze muda kwa swala la malezi mabovu kwa mtoto wako. Kwanza hao walimu wangeongeza idadi zifike fimbo 100 kwa tako moja.
Ameenda kusoma au kuchati na kupiga picha walimu..
Ficha ujinga wako mkuu
Mjinga nini yani we utajisikiaje mwanao anaumwa afu wanasema anajifanyisha afu apigwe ivyo tumia akili
 
Watoto wanatofautiana sana. Pale CW wanafanyaje? Mbona hakuna fimbo na watoto wana discpline kweli. Mtoto anakosea anajadili ukosefu wake wa nizamu kama mtu mzima akitoka hapo anaandika barua ya kuomba msamaha kwa kingereza safi. Wakati wa mjadala kama mzazi ni mkulima huwezi elewa wanaongea nini maana ni kile kingereza cha kuongelea kooni.
 
Serikali inapaswa kutenga mshara mnono sana kwa waalimu halafu ichukue waalimu baada ya kufaulu vizuri sana pia kuwe na board ya professional teachers ambapo ili uwe mwalimu lazima uwe unatambulika na wao. Hapa tunaweza pata walimu wenye exposure ya kudeal na mwanafunzi kulingana na mazingira mapya ya Dunia ya tecknolojia.

Unakuta mwalimu anagoma mwanafunzi asitumie calculator sababu inalemaza wakati kuna nchi wanatumia comp zenye internet kufanya mitihani. Huku mtu miaka 30 ndo anapata degree ya kwanza wakati kuna nchi miaka 17, 18 wanamaliza.
 
Bright? wewe unaongea tuu, fuatilia tabia zao ndio wanao support rainbow
 
Walimu sita wamempiga viboko 20.Mbona vichache. ukifanya hesabu za wastani.ukichukua viboko 20 gawa kwa walimu 6 N kuwa kila mwalimu kapiga viboko vitatu.Sio vingi kwa mtoto jeuri vichache sana kiwandani

Walimu hao hawajitumi vizuri kuchapa viboko
 
Huyu jamaa Ni teacher wa hapo jangwani, alikuwa mawindoni kwa huyo binti aliyekaangwa barakoa na inaonekana walikuwa na maelewano na yeye , istoshe kashachakata mbususu kimasihkara ndyo maana imempain Sana!
 
Wajuvi wa sheria mje hapa kutupa mwomgozo wa kumtetea mtoto.
 
Wewe ni mzazi, mwanafunzi mwenzake, jirani au kiongozi? Fimbo 20 ndo zakugungua Uzi, watu tulikula fimbo 40 + kukata kuni meta mbili mbili na shule iliendelea.
 
Hao wanafunzi wa Amsterdam labda, yaani anaita mvua dk 5 anashusha utamfanya Nini zaidi ya fimbo tu.
 
Wewe ni mzazi, mwanafunzi mwenzake, jirani au kiongozi? Fimbo 20 ndo zakugungua Uzi, watu tulikula fimbo 40 + kukata kuni meta mbili mbili na shule iliendelea.
Tena umevuliwa captula mbele ya staff wanakugombania kama mpira wa kona wenngine wanakusema , wengine viboko tena mbele ya mzazi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…