Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Mimi sikubaliani na adhabu ya fimbo kama ndio njia ya kutatua tatizo,mbona international school hawana huo ukiritimba na wanafanya poa zaidi ya wanaochapwa viboko 20+
International school Kuna mlinzi anaekagua mizigo ya wanafunzi wanapoingia shuleni, shule Zina fance kwahiyo hakuna kuvusha sim kimagendo. Maadili ya watoto yanaimarika kutokana na kutochangamana na Jamii Mara kwa Mara maana mtoto anakua shule likizo twisheni kwahiyo Hana muda na Jamii. Lakini bweni zetu hizi tunazijua wenyewe,

Watoto wanakua bweni likizo nyumbani na mtaani. Kwahiyo vurugu zote anakumbana nazo na zinamteka so akienda shule anataka aziendeleze.
 
Reactions: Sax
Kumbe kufanyiwa ukatili ni sifa?

Ulivuliwa mpaka chupi?
sio ukatili, kuna umri ambao tabia ya mtoto isipokuwa regulated ataharibikiwa, leo kupitia walimu hao walivyonirekebisha nawakumbuka hadi leo kwani nisingekuwa nilivyo leo
 
Taabu
 
Wewe ndio ufuatilie maana mimi hutonidanganya kuhusu kayumba au international, nishapita kwote huko. Mbona mashoga wengi wanatokea mitaa ya waswahili kwa wingi ambako wanatokea watoto wengi wa kayumba?
Hawa watu wako delusional sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mmoja hapo juu anasema alifurahia kupewa kipigo cha kikatili ikiwemo na kuingiziwa vidole mkunduni na kuchaniwa kaptula.

Huwezi amini mtu anafurahia kutwezwa utu wake. Anaona ni sifa sijui. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Duuh.
 
sio ukatili, kuna umri ambao tabia ya mtoto isipokuwa regulated ataharibikiwa, leo kupitia walimu hao walivyonirekebisha nawakumbuka hadi leo kwani nisingekuwa nilivyo leo
Vipi kuhusu madole waliyokuingizia mkunduni? na chupi wakakuchania!

Hiyo nayo ni moja ya njia ya kujenga maadili?
 
Wewe ni mzazi, mwanafunzi mwenzake, jirani au kiongozi? Fimbo 20 ndo zakugungua Uzi, watu tulikula fimbo 40 + kukata kuni meta mbili mbili na shule iliendelea.
Walimu wa sasa wana huruma
Wa zamani mwanafunzi.akiitwa kupigwa viboko anaacha hadi wosia kabla ya kipigo kueleza wenzie akifa daftari zake arithi nani.Sababu eneo la viboko chochote chaweza tokea

Hiyo ilisaidia utukutu kukoma mashuleni na watoto kusoma
 
Aisee, kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada baada ya mwanafunzi kupigwa ndoakasema Simu niyanani na ipo wapi.

It means kabla ya kupigwa hakuwa tayari kusema Simu iliko.

Mwanafunzi huyo kuwa nasimu shuleni watakaolaumiwa ni walimu kwa usimamizi mbovu, walimu hao wakitoa adhabu ili kukomesha iyo tabia wanaonekana wamekosea.

Nikuulize Swali jepesi,
Umeshawashutumu walimu wamekosea sasa tuambie Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungemchapa fimbo mbili utegemee akwambie iliko simu?

Ungembembeleza akwambie

Ungemfukuza shule ili akawe malaya vizuri.

Ungefanya nn?
 
Kwanini mwanafunzi kuwa na simu ni uhalifu?

Hilo nalo la msingi tuanze nalo!
 
Bila hizo bakora ungekuje sasa! Vipi ukikuta mwanafunzi anafanya hayo kama Mwl unajisikiaje!
 
Unafananisha wanafunzi wa International na hawa wa kayumba?Una safari ndefu sana kujikomboa kifikra.Pole sana bro
How wa international wana sauti kuliko Mwl, akifanya kosa anaitwa mzazi kuambiwa mwanao hajaandika juzi wala kufanya maswali upo!
 
Hili nalo unataka ujibiwe??????? Mchana mwema.
Jibu swali, acha ubabaishaji.

Ndio maana walimu mnaonekana kama irrational psychopaths tu.

Hauwezi hata kueleza kwanini simu ni haramu, lakini unajua tu kupiga wanafunzi marungu.

Unapaswa kuwa na HEK'MA, sio unaenda enda tu kama zombi.
 
Tena umevuliwa captula mbele ya staff wanakugombania kama mpira wa kona wenngine wanakusema , wengine viboko tena mbele ya mzazi wako
Kwahiyo wewe mpaka leo unaona ni sawa ulivyovuliwa nguo? Ama kweli uliathiriwa kisaikolojia vibaya sana kiasi unaona ilikua haki yako kufanyiwa uliyofanyiwa. Pole sana!
 
Jibu swali, acha ubabaishaji.

Ndio maana walimu mnaonekana kama irrational psychopaths tu.

Hauwezi hata kueleza kwanini simu ni haramu, lakini unajua tu kupiga wanafunzi marungu.

Unapaswa kuwa na HEK'MA, sio unaenda enda tu kama zombi.
Kwahiyo Mwalimu akifundisha watoto wawe wanachat darasani au wanapokea simu......halafu wakiferi muanze laumu walimu wanakula mishahara ya bure

Utterly nonsense tena unaonekana kama una bipolar mkuu
 
halafu wakiferi muanze laumu walimu wanakula mishahara ya bure
=WakifeLi.

Kuandika kwenyewe hujui, si ajabu hiyo shule unayoFUNDISHA unawajaza tu watoto wetu ujinga.

Pole mwalimu. Hizi sio zama za kuchapana kama wanyama.

Kuna UTARATIBU.
 
=WakifeLi.

Kuandika kwenyewe hujui, si ajabu hiyo shule unayoFUNDISHA unawajaza tu watoto wetu ujinga.

Pole mwalimu. Hizi sio zama kuchapana kama wanayama.

Kuna utaratibu.
hahaha mwalimu hajui tofauti ya L na R
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…