Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Naisifu shule ya secondari Baobab kwa kutoa mwanafunzi bora kabisa Tanzania. Usimamizi wa nidhamu na taaluma pamoja na michezo na lishe ya hali ya juu ni nguzo katika kufanikisha ushindi mkubwa wa shule hii tofauti na mashule mengi ya binafsi hapa Tanzania, nawatakia kila la heri