Mwanafunzi China auwawa kwa kuchomwa kisu


Ni hostel mkuu,mchina alikosea tageti kwani aligonga hodi karibu milango mitano,then akaamuwa kuvunja mlango wa jamaa ambaye ni class mate wangu na kuanza kumchuma kisu sehemu ya shingoni,kwa kweli jamaa aliye uwawa ni mpole sana,kwani hanywi pombe wala havuti sigara mda wote ni chumbani(PHD), NI HATARI bado siamini machoni mwangu
 
hujasema bado,sababu hasa ni ipi iliyomfanya huyo mchina kuua?kujua chanzo cha ugomvi wao ndiyo muhimu ili iwe fundisho kwenu mnaoishi huko china na hata nchi nyingine pia
Huwezi amini hakuna sababu maalumu mpaka sasa iliyotolewa kwani inaonekana jamaa yaani muuwaji alimiss target,aliyechomwa kisu hana makuu ni mtu wa chumbani tu(PHD)
 
engmtolera, Unaposema ni hatari sana na kwenu pia, Je hili huwa linajitokeza mara kwa mara au pengine jamaa hayupo vizuri kichwa na leo alipania kuua? Ikiwa ni jambo la kawaida kutokea hapo la wageni kuuawa then ni vyema mkafanya utaratibu wa kiusalama na chuo! Au hawawajali kabisa? Itabidi muhakikishe mnaishi kwenye hostel zenye usalama zaidi otherwise hii elimu kama mnaitafuta na roho zenu mmeshika mkononi itakuwa mashaka makubwa
 

ni PM
 
Mkuu kama ulikuwepo hapa,unayo yasema ndio yaliotokea hapa kwani kama Dr wangefika kabla ya polisi huyuu jamaa angepona cha kushangaza polisi wamefika nusu saaaa then wakaaanza mambo yao ya kipolisi baada ya masaa 2 Dr wanaingia jamaa amekata roho,sijui hawajamaaa haka kautaratibu wamekatowa wapi,hakafai hata kuigwa
mapinduziiii daimaaaaa
 
H uu mji unaoneka ni wamegangwe kwani hata walimu hutoa tahadhari kuwa wanaume wa hapa si wema,tunaishi ktk hostel na kila chumba kina mtu mmoja ama wawili na hostel yetu ina ghorofa 5 lakini chakushangaza jamaa kaacha watoto waliookuwa wakicheza koridoni na kwenda kummaliza jamaa,wanadai ni mala ya kwanza kwa mwanafunzi wa nje kufanyiwa jambo hili,ila hawa jamaa bado sina imani nao kabisaaaaaa,kwani mwezi uliopita wanafunzi wa kichina walipambana na wanafunzi wanaotoka japani so sijui itakuwaje baadae

mapinduziiii daimaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…