Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni

Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni

Ni mekuja kugugundua wanafunzi wanapoingia chuo ukurupukia kama Forex,kindege na kubeti,zile kampuni zakuweka pesa ili kuongezeka,kujifanya wanajua biashara,ujuwaji wa mapenzi na starehee.
Wafeni wake wangemfanya nini mpaka ajidhulumu uhai, usikute pesa haifiki hata laki tano
 
Polisi wanapenda sana kuhusisha matukio ya vifo, kuvamiwa, kujeruhiwa, nk. na ulevi!!

Kwenye hiki kifo cha mwanachuo, tatizo la kujinyonga kwake limesababishwa hasa na msongo wa mawazo uliotokana na madeni! Sasa hayo mambo ya sijui alikuwa ni mlevi, na bla bla nyingine yana ulazima gani wa kutolewa maelezo?
Sasa kama alikua mlevi wasiseme??
 
Eti kufuata mambo ya msingi, kufuata mienendo...pumbavu.... mkuu wa wilaya mwehu..mbona haongelei umaskini na Hali ngumu ya maisha kua ndio chanzo kikuu hapo...kwamba wanafunzi wanaopitia hayo wanatakiwa kutafuta msaada wa kimawazo kwa washauri nasaha au kupendekeza chuo kua na hivyo vitengo kwa ajili ya kuwasaidia wanachuo ambao wanakumbwa na msongo wa mawazo kutokana na ugumu wa maisha na umaskin wa familia zao ambao inapelekea kusoma kwa shida na madeni ..kwani huyo mwanachuo.alienda chuo kutafuta kujinyonga? Wanasiasa Hawa wapumbavu sana. Zero brain kabisa.
 
Hapo sababu ni wanawake TU kutaka kujiona sharobaro na MAISHA ya juu na hata matokeo mabaya pia Lakn sababu ya yote hayo ni wanawake au MWANAMKE
 
Yaan mtu anapata wap ujasir wa kutundika kamba na kujinyonga yaan mim kwangu haifikiriki kabisa watu wanashida gan
Sheria inasema kulipa den ni kidogokidogo kutokana na uwezo wako hakuna aliyefungwa Kwa kudaiwa hela
Eeh ugali sato ni mtamu aisee acha nisubir kazi ya mungu
 
Si useme tu huna ujasiri?😄😄
 
Back
Top Bottom