Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Wafeni wake wangemfanya nini mpaka ajidhulumu uhai, usikute pesa haifiki hata laki tanoNi mekuja kugugundua wanafunzi wanapoingia chuo ukurupukia kama Forex,kindege na kubeti,zile kampuni zakuweka pesa ili kuongezeka,kujifanya wanajua biashara,ujuwaji wa mapenzi na starehee.
Kumbe siku hizi taarifa za kifo huwa zinafurahisha, hazihuzunishi tenaYanafurahisha...
Sana...Kumbe siku hizi taarifa za kifo huwa zinafurahisha, hazihuzunishi tena
Ulevi, hamna mahali mwanamke katajwa.Madeni kwaajili ya nini mtu haishi na familia, ndiyo maana mdau hapo juu kasema sababu mojawapo lazima mwanamke awemo.
Na ulevi katika ripoti umetajwa?Ulevi, hamna mahali mwanamke katajwa.
Umesoma habari ukaimaliza au umesoma kichwa pekee??Na ulevi katika ripoti umetajwa?
Sasa kama alikua mlevi wasiseme??Polisi wanapenda sana kuhusisha matukio ya vifo, kuvamiwa, kujeruhiwa, nk. na ulevi!!
Kwenye hiki kifo cha mwanachuo, tatizo la kujinyonga kwake limesababishwa hasa na msongo wa mawazo uliotokana na madeni! Sasa hayo mambo ya sijui alikuwa ni mlevi, na bla bla nyingine yana ulazima gani wa kutolewa maelezo?
Si useme tu huna ujasiri?ππYaan mtu anapata wap ujasir wa kutundika kamba na kujinyonga yaan mim kwangu haifikiriki kabisa watu wanashida gan
Sheria inasema kulipa den ni kidogokidogo kutokana na uwezo wako hakuna aliyefungwa Kwa kudaiwa hela
Eeh ugali sato ni mtamu aisee acha nisubir kazi ya mungu
Sio Sina tu na siwez na sijawah fikiria hata nipigie magumu ganSi useme tu huna ujasiri?ππ
Safi sana...Sio Sina tu na siwez na sijawah fikiria hata nipigie magumu gan
Wewe hufahamu unachosema. Mtu akijiua ni moja kwa moja kuzimu. Hakuna kupumzika ni mateso tu. Kujiua ni dhambi kubwa kama kuua.Apumzike kwa amani! Njia za kuondoka duniani ziko nyingi kila mtu atapitia yake