Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni

Kukopa inamaana matumizi yake yalikuwa ni makubwa kuliko pesa aliyokuwa anapewa, au support kutoka nyumbani kwao ilikuwa ni kidogo/hamna? Kuna sehemu muhimu sana ya malezi ambayo kizazi hiki haipo, kuongea na vijana kuhusu hali tofauti tofauti ya maisha ni muhimu sana.
 
Kama ni kweli,basi mjukuu kakosea sana.Wazee wake tunanuka madeni hadi siyo poa na tunadunda tu.
 
Wewe hufahamu unachosema. Mtu akijiua ni moja kwa moja kuzimu. Hakuna kupumzika ni mateso tu. Kujiua ni dhambi kubwa kama kuua.
Wewe kuzimu unapajua au unajua aendapo mtu akifa? Au ndo umekariri mambo ya Zumaridi
 
Chuo kijana ukishindwa kujitambua bhasi naweza ishia kubayaa..kuna maisha ya kuiga mkumbo na maisha ya tamaa ukijimix lazima kimoja kikulambe...nasikia kijana alikopa auhudumie pisiii yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…