Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Hao ni wanachuo, wanaweza kuwa wametoka mikoani na si wakazi wa Arusha.Wakazi wa arusha wana tabia za ajabu sana!
Wakishaingia Arusha wanaingia kwenye tabia za ajabu! Arusha ni sumu kwa nidhamu na ustaarabu!Hao ni wanachuo,wanaweza kuwa wametoka mikoani na si wakazi wa Arusha.
Tutake radhi kiongozi watu wabay hawap arush tu ata wee ni mbaya kutokana na comment yako@Wakazi wa arusha wana tabia za ajabu sana!
Nchi ya uchumi wa kati......Mwanafunzi Ibrahim Shaaban wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) anashikiliwa na polisi Mkoani Arusha Kwa kosa la kumuua mwenzake Evance Florian (17) katika ugomvi wa kudaiana sh, 3000.
Kamanda wa polisi Mkoa hapa Justine Masejo amethibitisha tukio hilo na kudai kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha maiti katika hospital ya rufaa Mount Meru huku mtuhumiwa akishikiliwa na polisi Kwa uchunguzi zaidi.
Ugumu wa maisha unasababishwa na wewe mwenyewe...usimlaumu mtuAlaaniwe Yule Alie sababisha ugumu wa maisha popote alipo mbiguni au duniani au kuzimu.