B Bestjeet Member Joined Feb 28, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Mar 29, 2014 #1 Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan!
Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan!
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Mar 29, 2014 #2 Bestjeet said: Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan! Click to expand... shulegani,wilaya gani,mkoa gani tuanze hapo kwanza
Bestjeet said: Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan! Click to expand... shulegani,wilaya gani,mkoa gani tuanze hapo kwanza
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Mar 30, 2014 #3 Bestjeet said: Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan! Click to expand... Miaka namba tu. Sikuhizi nadharia pembeni, watoto wanawahi sana kupevuka na elimu ya uzazi bado haija eleweka vizuri. Kama binti wa chuo kikuu anapigwa mimba bila kutarajia sembuse huyo? Elimu ya uzazi inahitajika kwa udi na uvumba kwa watoto wetu na iendane na mazingira/hali halisi.
Bestjeet said: Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan! Click to expand... Miaka namba tu. Sikuhizi nadharia pembeni, watoto wanawahi sana kupevuka na elimu ya uzazi bado haija eleweka vizuri. Kama binti wa chuo kikuu anapigwa mimba bila kutarajia sembuse huyo? Elimu ya uzazi inahitajika kwa udi na uvumba kwa watoto wetu na iendane na mazingira/hali halisi.
N NJALI JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,534 Reaction score 1,090 Mar 30, 2014 #4 Vihele hele vyao, acha wapigwe mimba.
G gashambala uwezo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 485 Reaction score 67 Mar 30, 2014 #5 Acha adudwe , mitoto ya sk hz /
autorun255 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,105 Reaction score 364 Mar 30, 2014 #6 Weka picha