Mwanafunzi darasa la sita apewa mimba

Mwanafunzi darasa la sita apewa mimba

Bestjeet

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan!
 
Mwanafunzi wa miaka 11, darasa lasita apewa mimba na mtuhumiwa mwanfunzi wa sec lkn ajakamatwa bado anadunda mtahaan!

Miaka namba tu.

Sikuhizi nadharia pembeni, watoto wanawahi sana kupevuka na elimu ya uzazi bado haija eleweka vizuri.

Kama binti wa chuo kikuu anapigwa mimba bila kutarajia sembuse huyo?

Elimu ya uzazi inahitajika kwa udi na uvumba kwa watoto wetu na iendane na mazingira/hali halisi.
 
Back
Top Bottom