Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Huyo binti alitoroshwa na Mwalimu Jimmy, hakuna cha kuruka ukuta wala fence, na Mwalimu Jimmy alienda kumuhifadhi kwa Baba Jose, msala ulivyopamba moto Baba Jose akampeleka kwa huyo Mama,

Muhimu ni yeye aseme ukweli asipindishe maneno.
 
Mbona taarifa zinakizana sana hapa kuna kitu Kinafichwa Inawezekana kuna mtu mkubwa kahusika isije ikawa kama ile ya mwanachuo wa Udom na waziri.AMEPIMA NA HANA MIMBA LAKINI AKIGUNDULIKA ANA MIMBA ATARUHUSIWA KUENDELEA NA MASOMO.kwanini msiseme anamimba tu
 
Sasa ester yani hadi pm katoa agizo utafutwe kumbe upo pahala unatimiza haja ya mwili wako jamani.?
 
Sad story

Mama Esther alituaminisha kabisa kwamba bintiye ni mhanga wa shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…