Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Binafsi wala sijaona swali gumu hapo eti Hijabu alitoa wapi sasa si alishajiandaa ba Jose alinunua? Alitokaje wakati kuna fence? Hicho ni kipindi cha mitihan kuna wanafunzi wanaingia na kutoka pengine alijichanganya akatoka,eti mkuu wa shule kuwapa pole wazazi nalo ni swali la kufikirika? Si aliwapa pole kwa kupotelewa na mtoto? Eti fundi nguo alishangaa kwann anavaa hijabu wakati anaitwa Erica kwani kuwa Erica ndio kunamzuia kuvaa hijabu? Bint alimtambuaje wakati anavaa hijabu hili nalo kweli ni swali? Watu wambeawambea wakiona kitu cha kufikirisha lazima wadadis bint aliposikia hizo habari akachomesha kwa polis,polis nao wakavamia kumbe kweli ndio muhusika! Hakuna hata swali gumu hapo,kikubwa bint kapatikana ndio jambo jema,na Baba Jose huko alipo ajue 30years inamsubir
 
"Baba Jose" atengeneze Instagram account itapata followers wa kutosha..Akili za waTz wengi nazijua
 
Back
Top Bottom