Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

APIMWA MIMBA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema wamempima Esther Noah kipimo cha mimba Ili kujua hali yake na majibu yameonesha hana mimba.

Na kwa siku zijazo ikionyesha ana mimba watampa nafasi ya kwenda kujifungua na kurudi shule.

**************
Kuna mtu ameelewa hapa?
 
Soon nakupa video akisema hayo yote kuhusu Mwalimu James.

Screenshot_20230623-000324_YouTube.jpg
 
APIMWA MIMBA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema wamempima Esther Noah kipimo cha mimba Ili kujua hali yake na majibu yameonesha hana mimba.

Na kwa siku zijazo ikionyesha ana mimba watampa nafasi ya kwenda kujifungua na kurudi shule.

**************
Kuna mtu ameelewa hapa?
Mkuu wacha nlale bhana...

😂😅🤔..

G9t..
 
Mwanamme ambaye hajawahi kutafuna wanafunzi na anyooshe kidole, baba Jose apewe maua yake tu.
 
Kwamba binti kwa sasa hana mimba, ila akipata baadae ataruhusiwa akajifungue na kisha kurudi shule.!
Hujaelewa wapi.

Mimba inachukua muda kutunga.

Kama amefanya mapenzi jana usiku halafu leo apime mimba unadhani itaonekana?

Ni kama HIV tu. Unapima leo, ukionekana safi unashauriwa upime tena after 3 months.
 
Uko sahihi, kwa hiyo mimba ikionekana hatua itakayochukuliwa ni kumruhusu tu akajifungue kisha arudi…. just like that?
 
Ndio. Kwa mujibu wa sera ya elimu ilotungwa mwaka 2021 (masharti ya World Bank wakati tunapatiwa msaada wa chanjo ya COVID 19)
 
Back
Top Bottom