Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Nani kakwambia Erica hawezi kuwa mwislamu? Paul Pogba ni mkristo?
 
Sijapenda tuuu mpaka polisi wapewe order na PM ndiyo akili inakaa sawa.tunashukuru mitandao.Nguvu ya mitandao siyo ya kuchezea
 
Dogo kitambo,kanichefua

Dogo ni Topaz iliyochangamka.
 

Binti anaweza kuwa muhuni professional huyu.

Kuna stori nilisoma inaonekana wakati yuko kidato cha nne aliwahi kutoroka pia.
 
Mwalimu Jimmy bado anakuwa mbeba lawamaa huyu Binti mnafikii sanaaa khaaaa..
 
Mtoto wa kike unapataje ujasiri wa kutoroka kwenu kwenda kwa mwanaume???

Unapataje ujasiri wa kutoroka shuleni??
Si jambo jema mkuu,
Nina mtoto wa aunt baba yake ni mchungaji msaidizi lakini anatoroka shuleni anakwenda kwa mwanaume. Je hili litathibitisha wazazi Wana malezi mabovu?
Kwanini tusifike mahala tukasema kwamba ni akili ya mtoto labda makundi, labda foolish age, kwanini tuhitimishe ni malezi kutoka kwa wazazi?
 
Dah! Mada kama hizi ndiyo mara zote huwatoa Wadanganyika kwenye mstari. Watatumia muda mwingi kuzijadili, huku ccm yakiendelea kupitisha mikataba yao ya kimangungo.
 
Tulia hapo hapo, kuna kitu kiko jikoni kinakaribia kuiva..
Lazima utasahau tu utake usitake
😁😁😁😁😁😁
Nchi hii buana, viongozi sometimes wanatuonaga kama mazuzu fulani hivi
Mwaka huu labda wamuue mleta DP ndio watatupoteza maboya vinginevyo tutaning'inia hadi ushungini
 
Tatizo ameonja dudu hataacha tabia mbaya, dudu ni sumu mbaya ndio maana mkienda kujifungua mnatutukana matusi yote, mkipona mnasahau mnataka tena🤣🤣🤣
Tena mnapewa yote...wacha tuu..ila sisi sawa umri unaruhusu sio hao mastudenti
Ndo maana kuwa na bikra katika level za chini za elimu kabla akili haijapevuka vzr ni muhimu...maana ukishagusanisha tuu akili zinaruka..pole yao kwakweli
 
Si wanasemaga usimnyang'anye atalia,mwachie achezee.

Sasa akikua utalia mzazi

Yaani mzazi unamuogopa mtoto,

Nadhani umenielewa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…