Mwanafunzi huyu anataka msaada ili ajinasue katika makucha ya mwalim huyu

Mwanafunzi huyu anataka msaada ili ajinasue katika makucha ya mwalim huyu

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
Juzi nilihadithiwa kisa hiki,kuna mwalim ambae aliwahi kusimamishwa kazi kutokana na kumpa uja jauzito Mwanafunzi,na baadae akarejeshwa kazi kwa kuweka katika ofisi ya ELIMU WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA.
Hivi sasa yupo katika mapenzi mazito na Mwanafunzi mwengine na baada yakumposa na kukataliwa , ameendelea kuwa nae kisiri hivi sasa ameanza kuwa anamtisha na kumpiga mara kwa mara anamdai pesa za matumizi asipotoa huwa anampiga nakumtukana hadharani Mwanafunzi huyO kutokana navitisho amekua akimfichia Mwalimu huyo alokosa utu na kumfanya Mtumwa wake wa ngono.Juzi alimfata usiku akiwa katika kituo cha kujiendeleza na kumpiga eti aliumwa hakwenda kumtizama, ilipidi walinzi na Walimu kumuokoa katika adhabu hiyo na hatimae baada kuhojiwa Mwanafunzi ndipo akasema kile kinacho msibu na keshamwambia kwamba roho yake iko kwa mikononi mwake, yupo tayari kwenda jela maisha kama atamzingua.
Na mara kwa mara Mtovu huyo wa maadili hujifanya kuweka KAMBI ya masomo ili aweze kuwa nae muda wote kijana huyo na ameshamwambia akimsaliti atamjua yeye ni nani pamoja na kuripotiwa mara kwa mara kesi zake kituoni bado hakuna nafuu yoyote aliyopata Mwanafunzi huyo ambae anatarajiwa kufanya Mtihani wake wakumaliza kidato cha nne mwaka huyo.MSAADA JAMANI KUMUOKOA KIJANA HUYU NA ADHABU AIPATAYO
 
Back
Top Bottom