Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa hiyo ni vema kuanza kufikiria upya juu ya kifo cha huyo kijana!?Wale wansjitupa kwenye track ya bullet train.
Sisi wabongo ni kujinyonga, au sumu.
Wajapan wa zamani Masamurai ile ilikua dignity.
-Je,aliangukia kisu kikamchoma?
-Je,amechomwa kisu makusudically?
-Je,kulikua na ugomvi ambapo kisu kilihusishwa?🤔