Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Jamani ndungu, jamaa na marafiki kwanza natanguliza shukrani na kuwataka mchango wa mawazo. Hivi ukiwa admitted for surgery na upo katikati ya semester ni vyema kuendelea na masomo kama utakuwa bado discharged for more than two weeks? Natarajia kupata mawazo mazuri kutoka kwa wana jf members wenzangu