BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Feb 21, 2013 #1 Mwanafunzi amejinyonga baada ya matokeo mabaya ya kidato cha4,Source Nipashe ya Leo
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Feb 21, 2013 #2 Alihisi kujinyonga ndio suluhisho la mataizo ee!
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,342 Feb 21, 2013 #3 Kilaza huyo, watu wana disco chuo na hawajinyongi. Tena medicine mwaka wa mwisho.
Kitaeleweka JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 394 Reaction score 88 Feb 21, 2013 #4 Mwambieni yanarudiwa kusahihishwa. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums