kuna mabinti wengi sana wa mama salima pale saut sasa kuna vijana huwa wanawafakamia na baada ya kuupata ukweli huwa wanachanganyikiwa na kufikia kufanya uamuzi mgumu wa kujitoa uhai
mwanafunzi wa SAUT mwaka wa kwanza kitivo cha Elimu..ameuwawa vibaya usiku wa kuamkia leo mtaa wa nyamalango, alikabwa roba na kutobolewa macho. Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi