mwanafunzi SAUT auwawa kinyama usiku wa kuamkia leo

mwanafunzi SAUT auwawa kinyama usiku wa kuamkia leo

poleni sana wana saut but tuangalie kama chanzo ni bif basi tuziache
 
R.I.P mwanafunzi. Wauaji wasakwe na wafikishwe sehemu husika.
 
R.I.P mwanafunzi wa elimu...poleni wote wana saut na taifa kwa ujumla manake 2mepoteza mwalimu mtarajiwa wa kuwafundisha watoto we2
 
Mwanafunzi mwingine wa SAUT Tabora amekutwa amejinyonga chumbani kwake maeneo ya Ipuli!Sijui kinawasibu kitu gani hawa vijana wa SAUT?
 
kuna mabinti wengi sana wa mama salima pale saut sasa kuna vijana huwa wanawafakamia na baada ya kuupata ukweli huwa wanachanganyikiwa na kufikia kufanya uamuzi mgumu wa kujitoa uhai
 
Pia kuna mwingine alikutwa amejinyonga kwenye mlango wakuingia chumbani kwake tawi la saut mkoani TABORA
 
mwanafunzi wa SAUT mwaka wa kwanza kitivo cha Elimu..ameuwawa vibaya usiku wa kuamkia leo mtaa wa nyamalango, alikabwa roba na kutobolewa macho. Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, 2muombee coz wote 2 safari moja
 
Back
Top Bottom