Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Cecilia wanjiku, Binti mwenye umri wa miaka 16, mwanafunzi wa kidato cha tatu.
Baada ya Ajali ya moto kuanza Bwenini, wanafunzi wengine walikimbilia nje, ccecilia aligundua sauti ya wenzake wakiomba msaada, ndipo alipo Rudi, na blanketi alio iloweka kwenye maji, nakujifunika huku akiwakinga wenzake namoto pamoja na vitu vilivo kua vikidondoka,
Alifanikiwa kuokoa baadhi, badae alisikia, sauti kutoka bweni la juu wakiomba msaada na kupiga kelele kutokana na Moshi mkubwa ULIO tanda, ilimbidi kwenda huko juu kutaka kuwaokoa wenzake na ndio ikawa mwisho wa maisha yake, rip Cecilia pamoja na wenzake jumla 16 walio fariki kwa Ajali ya moto.
Chanzo cha Ajali kinasemekana ni mabinti wenzao waliuwasha moto huo, huku ushirikina pia ukihusishwa kutokana na video ya CCTV inayo sambaa, mpaka sasa inasemekana mabinti hao waliuwasha moto wako chini ya ulinzi na wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo, taarifa zaidi zitaendelea kutujia kadri upelelezi utapo kamilika.
Mungu aliweka mungu ametwaa jina lake lihimidiwe Amina.
INNALILLAH WAINNA ILLAH RAJUUN