Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
Tuachane na nembo em tujue familia, ndugu na jamaa za mshindi ili tusiwaze kama ni baba kantuma.
Hakika, tena tungesave pesa na muda..Chat GPT angeweza ku propose something better
😁😁Tanzania kweli tupo nyuma ya technology.
Kitu AI inafanya kwa sekunde eti mpaka uitishe shindano, nonsense.
Khaaaah!!!Nembo hiyo ni ya upinde ni aibu tupu.
Mkuu hata waliotengeneza hizi tech bado wanatumia binadamu. Mfano canva bado wanatumia binadamu kuhakiki template zao na kwa kiswahili wanamlipa $14 kwa saa ya uhakiki.Tanzania kweli tupo nyuma ya technology.
Kitu AI inafanya kwa sekunde eti mpaka uitishe shindano, nonsense.
Mimi nimeshika nafasi ya pili Mkuu. Namshukuru Mola Muumba kwa hilo. Asanteni sana wana jamii forum kwa support yenuLOGORIDDIM hii ni ipi tena?
Hongera sanaMimi nimeshika nafasi ya pili Mkuu. Namshukuru Mola Muumba kwa hilo. Asanteni sana wana jamii forum kwa support yenu
Hongera kwakeMwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya (HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza wa bunifu ya Utengenezaji wa Nembo ya Made in Tanzania ambapo lilihusisha zaidi ya washiriki 80 nchini Tanzania.
Shindano hilo lililaratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) na leo tarehe 8 Julai katika Ukumbi wa Karume "Sabasaba" amekabidhiwa zawadi ya Ushindi na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb).
Aidha; Nembo hiyo ilizunduliwa Rasmi tarehe 7 Julai, 2025 na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).
Bado mwanadamu anahutajika hizo picha za IA hata google SEO hawazitakiTanzania kweli tupo nyuma ya technology.
Kitu AI inafanya kwa sekunde eti mpaka uitishe shindano, nonsense.
Sasa hata huyo si wazi katumia AI, tofauti ipo wapi?Bado mwanadamu anahutajika hizo picha za IA hata google SEO hawazitaki
Tuonyeshe ya kwako inaweza nzuri zaidi ya hiiMimi nimeshika nafasi ya pili Mkuu. Namshukuru Mola Muumba kwa hilo. Asanteni sana wana jamii forum kwa support yenu
Logo au nembo nowadays hazihitaji mambo mengi,Sasa hata huyo si wazi katumia AI, tofauti ipo wapi?
Hivi hata ukifananisha huyu wa sasa na yule akiyegundua nembo ya bibi na bwana, yupi haswa ni kichwa kuzidi mwenzake?
Hapana hawajachakachua Boss. Kura zilizopigwa zilikuwa ziko wazi na kijana wa UDOM aliongoza kwa asilimia 50 dhidi ya asilimia zangu 42. Hapa chini nitakuthobitishia hilo na pia ninakuwekea nembo zilizoifikia hatua ya 3 bora. Ya kwangu ni hiyo A.Tuonyeshe ya kwako inaweza nzuri zaidi ya hii
labda wamekuchakachua, si unajua tena hii nchi....
Ulisoma maelekezo au Wali wa Samia unakuvimbila ?Kwanza hakuna ubunifu wowote hapo zaidi ya marangi ya bendera ya Taifa