The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
FactMwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni nyingine kutokana na faida zake
Martin ameeleza hayo mwishoni mwa wiki wakati wanachuo wa UDSM wakizungumza na wanahabari juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea nchini
"Hakuna dhambi kusema 'Oktoba unatiki' hakuna dhambi ukisema 'No Reform No Election. Lakini kwa maslahi mapana ya nchi nikagundua 'No Reforms No Election' ina faida kubwa sana", ameeleza Martin
Chanzo: JAMBO TV
Mkurya huyuMwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni nyingine kutokana na faida zake.
Martin ameeleza hayo mwishoni mwa wiki wakati wanachuo wa UDSM wakizungumza na wanahabari juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.
"Hakuna dhambi kusema 'Oktoba unatiki' hakuna dhambi ukisema 'No Reform No Election. Lakini kwa maslahi mapana ya nchi nikagundua 'No Reforms No Election' ina faida kubwa sana", ameeleza Martin.
View attachment 3379726
Kila raia anatakiwa ashiriki Siasa kukataza ni uchawaWajikite kwenye tafiti haya masiasa wawaachie akina msukuma 🐼
Taifa linahitaji vijana wenye AKILI TIMAMU kama hawa wenye uwezo wa kutafsiri nn maana ya kupelekwa shule na kusoma na matunda ya kusoma yakaonekana kichwani.Wapumbavu wasio na akili hawawezi kujua tafsiri sahihi ya AMANI,kijana huyu ametoa shule tosha ya tafsiri halisi ya AMANI.Hatuwazungumzii sana waliopita madarasani na wakatoka nje wakaenda zao bila chochote kichwani,kwa maneno mengine tunaweza kusema serikali au wazazi walipoteza pesa kusomesha ng'ombe ambayo haiwezi kureason Wala kuargue.Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni nyingine kutokana na faida zake.
Martin ameeleza hayo mwishoni mwa wiki wakati wanachuo wa UDSM wakizungumza na wanahabari juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.
"Hakuna dhambi kusema 'Oktoba unatiki' hakuna dhambi ukisema 'No Reform No Election. Lakini kwa maslahi mapana ya nchi nikagundua 'No Reforms No Election' ina faida kubwa sana", ameeleza Martin.
View attachment 3379726
Akina Msukuma Wasio na akili yaani Taifa waachiwe wajinga?Wajikite kwenye tafiti haya masiasa wawaachie akina msukuma 🐼
Maskini hapa jamaa atatengenezewa Ata discontinue huko, Chuo bado kuna kuvamiwa maana kwa kijana kama Huyu hawezi kuwa na ulinzi, anatrakiwa tu chap anafanywa vibayaMwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni nyingine kutokana na faida zake.