The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Vijana wengi jau, tuliona wakati wa magufuli, mmepewa msimamie ofisi za uma mwisho wa siku mnaishia kufanya mambo ya kishamba shamba tu.Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.
βMbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,β amesema.
Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.
βHaiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,β amesisitiza.
Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.
kubeza au kujaribu kunajisi au kupaka shombo maamuzi ya wanachi kuhusu wawakilishi wao ni kujipalia mkaa mwenyewe.Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.
βMbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,β amesema.
Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.
βHaiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,β amesisitiza.
Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.
Ngoja amalize Chuo aje mtaani ndo ajue kuwa Ubunge ni ajira, na zile NOTES anazosoma darasani za WAJIBU WA MBUNGE/DIWANI/ n.k ni za kujibia mitihani tu hazi-apply huku uraiani.Huyu anachanganya elimu ya chuo na siasaπΌ
Bahati mbaya haosaidii chochote mfumo wetu ndio umetufikisha hapaMwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.
βMbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,β amesema.
Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.
βHaiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,β amesisitiza.
Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.
Hekima ya uongozi haipimwi kwa shahada pekee bali kwa uwezo wa kuhudumia wananchi. Kuna maprofesa wabunge waliokwama na kuna wenye elimu ya msingi wanaofanya kazi nzuri majimboni. Kuwabeza watu kwa elimu tu ni kupuuza msingi wa demokrasia β ridhaa ya wananchi.kubeza au kujaribu kunajisi au kupaka shombo maamuzi ya wanachi kuhusu wawakilishi wao ni kujipalia mkaa mwenyewe.
nenda ukaombe ridhaa ya uongozi kwa wananchi kwa hoja hizo kama utachaguliwa.
kazi ya mbunge sio kutunga sheria pekeyake gentleman.
mchukue Prof yeyote unaemfahamu ambae ni mbunge, kisha linganisha record yake ya maendeleo jimboni kwake dhidi ya records na michango ya hao wabunge darasa la 7 unaowabeza, dhidi ya mambo mballimbali ndani ya bungee.
In fact,
ni nonsense kubabaishwa na wabunge wawili au wa tatu wenye kiwango hicho cha elimu ambacho pia kinawapa fursa ya kua wawakilishi wa wananchi π
Je mbunge wa darasa la Saba Kama msukuma anaweza kujadili na kutunga miswada ya nchi ?Hekima ya uongozi haipimwi kwa shahada pekee bali kwa uwezo wa kuhudumia wananchi. Kuna maprofesa wabunge waliokwama na kuna wenye elimu ya msingi wanaofanya kazi nzuri majimboni. Kuwabeza watu kwa elimu tu ni kupuuza msingi wa demokrasia β ridhaa ya wananchi.
BAWACHA kata ya Sombetini ivunjwe tu imepoteza uelekeo πKwanza hili bunge fake ilivunjwe haraka sn
huyo kijana huenda anatafuta kiki tu, but aende na hoja hiyo kuomba ridhaa ya uongozi kwa wananchi, hawezi kuambulia chochote.Hekima ya uongozi haipimwi kwa shahada pekee bali kwa uwezo wa kuhudumia wananchi. Kuna maprofesa wabunge waliokwama na kuna wenye elimu ya msingi wanaofanya kazi nzuri majimboni. Kuwabeza watu kwa elimu tu ni kupuuza msingi wa demokrasia β ridhaa ya wananchi.
Hoja yako ina uzito, lakini pia inahitaji mizania.Je mbunge wa darasa la Saba Kama msukuma anaweza kujadili na kutunga miswada ya nchi ?
Sifikirii Kama ni sahihi Sana kusema darasa la Saba awe Mbunge wakati hakuna kitu anaweza kuchanganua zaidi ya kugonga meza.