Mwanafunzi wa 14 kutoka Ethiopia ashinda Tuzo: Sabuni ya Kinga Ya Saratani ya Ngozi

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi.



 
Hakika
 

Attachments

  • download (11).jpeg
    11 KB · Views: 8
  • 1797020_IMG_20180715_131927 (2).jpg
    112.9 KB · Views: 7
Apewe maua yake!
Mama Samia ameifungua Afrika, angalau katuwezesha kuwazidi wazungu.
CCM Oyeee Makonda juu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…