Nursing ,midwifery,na phamarcy uwe umefauru vizuri kwa vyuo vya serikali nacho kimoja ni muhimbili tuu ndo kwa serikali wana pharmacy ambapo CBG kwenda ikuangukie bahati lakini uwe umefauru vizuri sana hata hizo zngne ila kampala we hata usipo piga sNa unaenda na vyuo vngne kama bugando,kcmc vya private ila government ushindani ndo tatizo
Muhimbili wanataka 3 principal passes from 3 subjects ambazo ni Chemistry,Biology na Physics/Mathematics
This means wanataka PCB au CBM
CBG anazitoa wapi?
Dah! Ata cjaelewa kp n kp niamn lip niache lip
Fuatilia kama hamna CBG pale phamarcy
Amini kwamba inawezekana.Usiwe na wasi.ni matokeo yako tu.
Na vyuo vipo vingi.so ck hizi inawezekan.TCU ipo.
Nifuatilie mara ngapi.Kitabu cha TCU kinaonesha clearly kabisa.Lakini pia ninasoma hapa,sijawahi kuona CBG Pharmacy wala MD
Mkuu mtoa mada,huwezi kupata Pharmacy Muhimbili,labda vyuo vingine.