Mwanafunzi wa CBG anaweza kusoma pharmacy?

Mwanafunzi wa CBG anaweza kusoma pharmacy?

Ercy's

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
88
Reaction score
24
Naomba kueleweshwa kwa anaefaham eti ukisoma cbg uwezi kujiunga na pharmacy? pia ni fakat gani m2 anaesoma cbg na kufaulu vizur anaweza zisoma chuo kikuu?

Kwa anae faham tafazal naomba kusaidiwa
 
Nursing ,midwifery,na phamarcy uwe umefauru vizuri kwa vyuo vya serikali nacho kimoja ni muhimbili tuu ndo kwa serikali wana pharmacy ambapo CBG kwenda ikuangukie bahati lakini uwe umefauru vizuri sana hata hizo zngne ila kampala we hata usipo piga sNa unaenda na vyuo vngne kama bugando,kcmc vya private ila government ushindani ndo tatizo
 
Unaweza.hata MD ukitak unasoma tu.ili mradi uwe umefaulu vzr.so kazi kwakl na jitigada zako masomon.
 
uaeza soma vetenary ofisa ni nzuri sana japo mgumu udaktari wa wanyama
 
Nursing ,midwifery,na phamarcy uwe umefauru vizuri kwa vyuo vya serikali nacho kimoja ni muhimbili tuu ndo kwa serikali wana pharmacy ambapo CBG kwenda ikuangukie bahati lakini uwe umefauru vizuri sana hata hizo zngne ila kampala we hata usipo piga sNa unaenda na vyuo vngne kama bugando,kcmc vya private ila government ushindani ndo tatizo

Muhimbili wanataka 3 principal passes from 3 subjects ambazo ni Chemistry,Biology na Physics/Mathematics

This means wanataka PCB au CBM

CBG anazitoa wapi?
 
Dah! Ata cjaelewa kp n kp niamn lip niache lip
 
Fuatilia kama hamna CBG pale phamarcy

Nifuatilie mara ngapi.Kitabu cha TCU kinaonesha clearly kabisa.Lakini pia ninasoma hapa,sijawahi kuona CBG Pharmacy wala MD

Mkuu mtoa mada,huwezi kupata Pharmacy Muhimbili,labda vyuo vingine.
 
Amini kwamba inawezekana.Usiwe na wasi.ni matokeo yako tu.
Na vyuo vipo vingi.so ck hizi inawezekan.TCU ipo.

Haitoshi tu kumuaminisha hivyo.Mwambie achukue kitabu cha mwongozo cha TCU kilaa kitu kimo humo
 
Ericy's ,ukitaka kupata uhakika wa kile unachokiuliza kwa kila chuo,tafuta TCU Guide Book

Humo kuna maelezo ya kila chuo,na sifa za applicants walio eligible

Kitafute
 
Nifuatilie mara ngapi.Kitabu cha TCU kinaonesha clearly kabisa.Lakini pia ninasoma hapa,sijawahi kuona CBG Pharmacy wala MD

Mkuu mtoa mada,huwezi kupata Pharmacy Muhimbili,labda vyuo vingine.

Usitudanganye bhna mimi nasoma hapo muhimbili na kuna friends zangu hapo wana three za 13 tena hizi za BRN na wanapiga pharmacy....wewe umefuatilia wapi walio ingia mwaka huu umefuatilia?
 
Back
Top Bottom