Mwanafunzi wa CBG anaweza kusoma udaktari elimu ya juu?

Mwanafunzi wa CBG anaweza kusoma udaktari elimu ya juu?

Je mtu wa cbg anaweza kusoma udaktari!!!

Kwa bongo ngumu ndugu yangu!labda ukasome diploma kwanza utumie cheti cha o'level then baadaye uombe ndo unapata.Ila kwa kozi zingine za afya unapata kiurahisi mfano Bsc in environmental health,Bsc in lab tech na Bsc in nursing.
 
Mbona kuna mshikaji wangu kasoma pcb na yupo kiu
 
Yupo st fransis mahenge

Possible kisheria mkuu! lakini miaka ya nyuma kuna watu waliteseka sana.Mpaka sasa mwaka huu nina ushahidi wa majina ya watu walioachwa kisa wamesoma CBG.Walijarib hata kuja chuoni wakambiwa impossible kupata.Huu utaratibu umevurugwa sana vyuo vya public.
 
inawezekana hasa ule wa mifugo...tafuta nafasi pale SUA watakupokea tu.
 
Je kwa vyuo kama imtu kiu kcmc..kuna shida na mtu wa cbg
 
Ninavyosema hivi.mimi nimeapply nanimekubaliwa first round na sio mimi tu.ila kwa vyuo vya imtu. Kiu kcmc khairuki haya ndio machaguo yangu
 
Back
Top Bottom