Mwanafunzi wa chuo ajishindia Tsh bilioni 4 kwa kubeti kwa usahihi mechi 17

Kubet noma sanaaa leo sijui nimpe tena kanji helaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hela za haramu hizo
Hiyo hiyo haramu baadaye mnamfuata na karatasi ya kuomba kuchangia ujenzi wa musikiti, kituo cha yatima au kanisa!.

Tuache unafiki kupitia hizo dini zenu, nitajie mfanyabiashara yeyote mkubwa anayeswali au kusali anayefanya biashara isiyo haramu!.
 
Hiyo hiyo haramu baadaye mnamfuata na karatasi ya kuomba kuchangia ujenzi wa musikiti, kituo cha yatima au kanisa!.

Tuache unafiki kupitia hizo dini zenu, nitajie mfanyabiashara yeyote mkubwa anayefanya biashara isiyo haramu!.
Huo ndio ukweli.
Hata kama utabisha
 
Wakenya kwa kimbelembele, kila kitu wanataka wao waongoze!
 
Hii ni hamasa kubwa kwa wazee wa kubet haha.
 
Picha ya huyo mwanafunz pls
 
Anaongea tu hivi viumbe vina ushawishi na hakuna mwanaume anaweza vumilia ushawishi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…