Mwanafunzi wa Chuo Kikuu afariki baada ya ‘jogoo’ kuwika siku tatu mfululizo

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu afariki baada ya ‘jogoo’ kuwika siku tatu mfululizo

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya.

Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa akipokea matibabu baada ya kulalamikia maumivu kwenye eneo lililo chini ya tumbo yake na jogoo wake kuwika bila kukoma.

Tukio hilo liliripotiwa na Msimamizi wa Maslahi ya Wanafunzi Chuoni humo Aden Mohamed aliyesema kuwa marehemu alikuwa ameshuhudia jogoo wake akiwika kwa siku tatu bila kukoma.

Jogoo huyo aliwika kutoka Jumamosi, Februari 19 hadi Jumatatu, Februari 21,2022 na kuufanya usimamizi wa chuo hicho kumpeleka hospitalini.

“Kuna mwili wa mwanafunzi katika Hospitali ya Shepherd aliyelazwa Februari 23 mwendo wa saa 10:20 asubuhi akilalamikia maumivu chini ya tumbo na jogoo wake kuwika bila kukoma tangu Jumamosi Februari 19,” ripoti ya polisi inasema.

Imeelezwa kuwa kabla ya kukutwa na tatizo hilo, alihudhuria hafla na wenzake watano mnano Februari 18. Inadaiwa punde tu baada ya kupata mlo, mwanafunzi huyo alianza kulalamika kuhusu jogoo wake kuwika bila kukoma hali iliyomlazimu kutafuta matibabu.

“Mwili ulipigwa picha na maafisa wa eneo la tukio Narok na kupelejwa katika Hospitali ya Rufaa ya Narok ukisubiri kufanyiwa uchunguzi,” ripoti hiyo iliongeza.

Maafisa kutoka kwa Idara ya Upelelezo wa Jinai (DCI) Tawi la Narok Kaskazini wanashughulikia suala hilo kwa lengo la kubaini mazingira na chanzo cha kifo hicho.

Source: Tuko News



================

Maasai Mara University student dies of three-day erection

A Maasai Mara University student on Thursday night died over continuous erection in Narok County.

In a police report seen by this reporter, WO, 22, died at Shepherd Hospital where he was admitted while complaining of lower abdomen and constant erection.

The matter was reported by the university’s Dean of Students Aden Mohamed that the student experienced the erection for three days.

The erection took place from Saturday, February 19 to February 21 prompting the institution’s management to take him to hospital on February 23.

“There is a body of a student at Shepherd hospital who was admitted yesterday (February 23) at around 1020hrs complaining of lower abdominal pain and constant erection of the penis from Saturday 19/02/022,” the police report read in parts.

The report further revealed that he was “complaining of lower abdominal pain and constant erection of the penis from Saturday of February 19.”

Police officers visited the hospital and identified the deceased as WO who reportedly attended a party with five others on February 18, 2022.

It was reported that immediately after he had a meal, the deceased started complaining of constant erection which forced the student to seek medical attention.

“The body was photographed by the scene of crime personnel in Narok and was moved to Narok Referral Hospital morgue pending a postmortem,” the report read.

The Directorate of Criminal Investigations – Narok North is dealing with the matter after an inquest number 9/2022 was opened and a progress report followed.
 
Alishindwa kutafuta hata machangudoa apunguze ugwadu? Viagra ingeondolewa sokoni. Ina haribu watu sana
 
A prolonged erection of the penis, usually without sexual arousal.

Priapism is an unwanted, persistent erection. It may occur spontaneously or from certain antidepressants or erectile dysfunction drugs


Corporeal fibrosis due to persistent priapism can result in deep-tissue infections of the penis. Deaths have been reported in patients with sickle cell disease presenting with priapism, but the cause of death usually is not related to the priapism per se but to complications from the underlying disease process.
 
Inawezekana alicheza na familia ya watu ambayo tayari iliisha tengenezwa
 
Back
Top Bottom