713
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 354
- 776
Mpka hapo hujaficha kitu mtoa mada mtoto nadhan anaitwa Halima juma athuman na matokeo yake ya darasa la nne yalikuwa Vzuri tu na anaonekana anajituma mamlaka husika lishughulikie hili
Ndoto ya binti isikatishwe na wapenda ngono mtoto wa darasa la 6 kweli mungu anisamehe tu.
Kwa akili yangu hii navoijua tunazaliwa mara moja na kufa ni mara moja ningefanya maamuz magumu dunia nzima ingeshangaa